mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Kwa vyovyote utakavyojiona either una Hali ngumu au umebumbwa ki maisha Basi tambua yupo mwenye Hali mbaya Zaid yako na anatamani Lau angefanya shughuli ufanyayo wewe au angeishi nyumba unayoishi tukumbuke Kuna binadam Kama cc wanalala nje yaan stendi chini ya madaraja na mfano wa hayo ila nao pia Wana roho na wanatamani starehe Kama wewe
Kwa mantiki hiyo bas yafaa umshukuru mungu kwa Hali yeyote uliyonayo kwa sasa then piga moyo konde usonge mbele na vyovyote utakavyokua Basi Kuna mwingne ana Hali ngumu Zaid yako
Usilalamike huna kiatu Kuna mwenxio Hana miguu
Naomba kuwasilisha