Chikolombe
Member
- Jul 23, 2020
- 36
- 69
- Thread starter
-
- #61
Kama unachosema ni kweli njoo Pm nkupe nauli uende kufata hela yako Dom, km unachosema siyo kweli usije kwasababu hutoipata hyo hela.
Plan B, uwe makini na biashara za kukopeshana zinachangamoto sana.
Plan C, ukiona anakuzingua sana, nenda kwa wazee wa huko kwenu kashtaki ikiwezekana mroge tu hakuna namna. Maana umetafuta pesa kwa jasho mtu akudhurumu..siyo sawa na hapa duniani acha kujifanya mwema kwa kila mtu na kujifanya fair, dunia haiko hvyooo na walimwengu ni fisi.
Nenda haraka ukachukue pesa na sio mzigo.
Biashara huwezwa na mijitu jeuri, nrnda na sura ya kazi.
Madalali ni matapeli.. mlikunaliana aiju 3 na aio kukutunzia samaki.
Uaicheke na nyani na siku nyingine toa mzigo kwa maadishi
Kama huna vibali na nyaraka za kuuziana inaonesha nako huna. Wewe utakuwa ni mzembe tu. Tunajifunza kutokana na uzembe ila kwa hili jiandae kisaikolojia maana asilimia kubwa ni kukosa. Jaribio la mwisho ni kwa mama yako. Likifeli huna pa kumpeleka maana huna nyaraka huo utakuwa ni uzembe wako. Kwa mtazamo tu naona ni hadithi ya kufikirika. Huwezi nunua mzigo kwa hela yote kwa mara ya kwanza kwa ubahili uliokuwa nao mpaka ukaweza kumake 1m. Hivyo hadithi yako ina mapungufu mengi na hivyo hujaweza kuitunga vizuri maana ina gap nyingi zisizounganika hata kidogo.
Umesoma chuo gani kabla sijatoa comment yangu?Plan b itakuja pale shahidi akikataa kutoa ushirikiano ila kwa sasa nafocus kupata pesa yangu kwa uhalisia uliopo
Inaonesha hujawahi kufanya biashara wewe, na kama umewahi basi biashara ya duka!!! Hivi umeshawahi kusikia kitu kinaitwa "at cost price"?!Kuna 1385 na kuna 1835 ipi ni namba sahihi.. Unajua nyinyi wananchi mnaojiita wanyonge kumbe kweli kichwani wanyonge unafanya biashara kabla ya kujumlisha cost zingine tayari unahasara.. Biashara gani hii unapata 250,bora huyo jamaa akutapeli ili ujifunze
Halafu we bhana ungekuwa wife wangu tungezaa maparoko watupu waliojazwa upako huko huko!!Dah nimeona huruma sana.
Kuna 1385 na kuna 1835 ipi ni namba sahihi.. Unajua nyinyi wananchi mnaojiita wanyonge kumbe kweli kichwani wanyonge unafanya biashara kabla ya kujumlisha cost zingine tayari unahasara.. Biashara gani hii unapata 250,bora huyo jamaa akutapeli ili ujifunze
Chikolombe ina onekana ww ni wa idodomya, mtafute mavunde mweleze kila kitu atakusaidia. Wahi haraka kipindi hiki cha kampeni
Sema hili tukio limenikumbusha zamani sana enzi hizo najifanya eti hustler wakati nilikuwa katoto kadogo tu ambako ndo kwanza nimemaliza Form IV!!!
Hiyo siku nimepeleka mzigo, tena siku ya kwanza kama ilivyo kwa Likolombe... nikakutana na dalali ambae ni mlemavu wa miguu!!!
Jamaa alikuwa hawezi kusogea hata hatua moja bila kutumia magongo... labda asote!!
Basi bhana, nikamwachia mzigo! Huku na kule, siku ya kwanza, ya pili, ya tatu, dalali sound kibao! Alipoona mambo magumu, jamaa akala kona... akapotea kabisa sokoni!
Kila ninayemwuliza anakoishi, raia wanajifanya hawajui!!
Nilichofanya ni "kupotea" pale sokoni lakini kimsingi nilikuwa around nikimlia timing!! Sijui jamaa alikuwa anatuma wapambe waje kuangalia kama nipo au sipo, only God knows! Siku ya tatu, jamaa akatokea!!
From nowhere nikamwibukia, na kabla hajafahmu what's going on, nikayapora magongo yake na kumwambia hadi alipe pesa ndo namrudishia!!
Watu wa sokoni wajinga sana!!! Badala ya kumhurumia mwenzao, shangwe ambalo liliibuka pale halikuwa la nchi hii!!! Ungesema Tundu Lissu katangazwa rais!!!
Anyway, it's in those good old days!!
Chikolombe, hao wanaokuambia ulimwamini vp huyo jamaa inaonesha hawajawahi kuuza hata pipi ndo maana hawafahamu ulichokifanya ni kitu cha kawaida sana kwenye masoko yetu!
Sijui uliyemwachia ni mtu wa aina gani, manake kwa kawaida wanaochukua mizigo kwa staili hiyo ni madalali, ingawaje pia kunakuwa na wachuuzi ambao nao uchukua mizigo kwa mali kauli kwa kutarajia atakulipa akishauza!!
Ningeshauri rudi sokoni uangalie uhalisia lakini usimwambie kwamba unaenda! Kama ulimwachia dalali, kama mzigo hujauzika ina maana utaukuta umemdodea! Na ukikuta mazingira kama hayo, mwombe akutafutie bao fasta upige mwenyewe reja reja kabla hawajaharibika beyond selling quality!!
Usilete ujuaji wa kutaka lazima akulipe pesa yako wakati unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mtaji wako hauzami!!!
Kama ulimwavchia mchuuzi, ongea nae kama mzazi/bro ili msaidiane kuhakikisha mzigo unaisha!! Achana na simulizi za uchumi wa kati, hii nchi bado ni maskini sana!!! Huyo jamaa asipoweza kuuza huo mzigo kwa wakati basi uwezekano wa kukulipa utakuwa mdogo au utalipwa kwa mafungu kwa muda mrefu jambo ambalo ni threat kwa mtaji wako!!!
Kama mzigo bado mwingi, assuming Dom kuna masoko mengine, basi mwambie uchukue kidogo kidogo, kama vile debe moja kupeleka kwenye masoko mengine!
NARUDIA, usilete mambo ya kisomi wakati hata mkataba hamkuandikishiana... unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mzigo unauzika kwa haraka at that cost price ili kuulinda mtaji ili kuulinda mtaji!!
SHIRIKIANA na huyo mtu kuhakikisha mzigo a!!!
Watu wa sokoni ni wauaji wanafanya biashara kwa hela yako na hasara ni juu yako.Umenikumbusha machungu Jamanii, hawa watu wa sokoni sio kabisa. Watu wa sokoni wengi ni matapeli
Huo ndio ushauri wa maana. ... watu wengi humu hawafahamu biashara za sokoni ni wale tu wanaonunua wanatoa cash papo hapo wale wauzaji wote asilimia kubwa ni biashara ya mali kauli.Sema hili tukio limenikumbusha zamani sana enzi hizo najifanya eti hustler wakati nilikuwa katoto kadogo tu ambako ndo kwanza nimemaliza Form IV!!!
Hiyo siku nimepeleka mzigo, tena siku ya kwanza kama ilivyo kwa Likolombe... nikakutana na dalali ambae ni mlemavu wa miguu!!!
Jamaa alikuwa hawezi kusogea hata hatua moja bila kutumia magongo... labda asote!!
Basi bhana, nikamwachia mzigo! Huku na kule, siku ya kwanza, ya pili, ya tatu, dalali sound kibao! Alipoona mambo magumu, jamaa akala kona... akapotea kabisa sokoni!
Kila ninayemwuliza anakoishi, raia wanajifanya hawajui!!
Nilichofanya ni "kupotea" pale sokoni lakini kimsingi nilikuwa around nikimlia timing!! Sijui jamaa alikuwa anatuma wapambe waje kuangalia kama nipo au sipo, only God knows! Siku ya tatu, jamaa akatokea!!
From nowhere nikamwibukia, na kabla hajafahmu what's going on, nikayapora magongo yake na kumwambia hadi alipe pesa ndo namrudishia!!
Watu wa sokoni wajinga sana!!! Badala ya kumhurumia mwenzao, shangwe ambalo liliibuka pale halikuwa la nchi hii!!! Ungesema Tundu Lissu katangazwa rais!!!
Anyway, it's in those good old days!!
Chikolombe, hao wanaokuambia ulimwamini vp huyo jamaa inaonesha hawajawahi kuuza hata pipi ndo maana hawafahamu ulichokifanya ni kitu cha kawaida sana kwenye masoko yetu!
Sijui uliyemwachia ni mtu wa aina gani, manake kwa kawaida wanaochukua mizigo kwa staili hiyo ni madalali, ingawaje pia kunakuwa na wachuuzi ambao nao uchukua mizigo kwa mali kauli kwa kutarajia atakulipa akishauza!!
Ningeshauri rudi sokoni uangalie uhalisia lakini usimwambie kwamba unaenda! Kama ulimwachia dalali, kama mzigo hujauzika ina maana utaukuta umemdodea! Na ukikuta mazingira kama hayo, mwombe akutafutie bao fasta upige mwenyewe reja reja kabla hawajaharibika beyond selling quality!!
Usilete ujuaji wa kutaka lazima akulipe pesa yako wakati unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mtaji wako hauzami!!!
Kama ulimwavchia mchuuzi, ongea nae kama mzazi/bro ili msaidiane kuhakikisha mzigo unaisha!! Achana na simulizi za uchumi wa kati, hii nchi bado ni maskini sana!!! Huyo jamaa asipoweza kuuza huo mzigo kwa wakati basi uwezekano wa kukulipa utakuwa mdogo au utalipwa kwa mafungu kwa muda mrefu jambo ambalo ni threat kwa mtaji wako!!!
Kama mzigo bado mwingi, assuming Dom kuna masoko mengine, basi mwambie uchukue kidogo kidogo, kama vile debe moja kupeleka kwenye masoko mengine!
NARUDIA, usilete mambo ya kisomi wakati hata mkataba hamkuandikishiana... unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mzigo unauzika kwa haraka at that cost price ili kuulinda mtaji ili kuulinda mtaji!!
SHIRIKIANA na huyo mtu kuhakikisha mzigo unauzika!!!
Ahsante sana... kwa mtu ambae ameshawahi kufanya biashara za aina hii, hapo atakuwa amekuelewa kwa 100%!!Huo ndio ushauri wa maana. ... watu wengi humu hawafahamu biashara za sokoni ni wale tu wanaonunua wanatoa cash papo hapo wale wauzaji wote asilimia kubwa ni biashara ya mali kauli.
Jamaa hajakosea kabisa kutoa mzigo kwa huyo mtu maana ndio biashara zinavyofanyika. Hiyo ni changamoto katika biashara zetu, kupata dalali mwaminifu ni kazi na hakuna dalali mwaminifu ni kuishi nao tu kwa akili.