Kuna MTU anatafutwa humu

Kuna MTU anatafutwa humu

She lux white to me and for a white chick!! that's photoshop all the way!
 
Sheikh Kipoozeo pita pande hii. Kweli Mola anapendelea.
 
Hahaha kumbe huwa unakesha, nikajua uko kwa Obama mkuu pole wahi job

Mmh hapana nina allergy na huko kwa huyo jamaa sijui kwanini naona nitaenda kila mahali lakini si America
 
Uzuri wa huyu awe na mwili mgumu si laini ndo utachanganyikiwa kabisaaaaa
 
Anakuwa kama miss bantu....au mchinaa maana hawa watu wa magharibi wana penda sana editing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom