Kwani Kuna habari gani Tena mbna manager wa Tarura amepeleka vijiko mkuranga

Status
Not open for further replies.

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,985
Kuna mtu kaniambia jion ya leo vijiko na grader na dozer zipatazo tano vimewasili mkuranga mkoani pwani

Akaniuliza kwa kuwa anajuwa mm naftilia sna mamb ya serekali ndio namm nikaona niwaulize huku

Je Kuna nn mkuranga Hadi wapeleke vijiko jioni kwa lazima
 
Labda kubwa jinga linakatibia huko.....stay tune ..badala kuhenga mifumo tunajenga manual operation ya lijitu mkja punguani....ataweza wilaya na manispaa zote apute masaa 2 atatue matatizo yote naisha watu masikini aboreshe lea zile porojo ? Mnacheza akili watanzania wajinga.....vijijini huko
 
HV unajuwa umeandika nn ebu Soma Tena ulicho andika hapa Ni ushuzi mtupu
 
Kuna mtu kaniambia jion ya leo vijiko na grader na dozer zipatazo tano vimewasili mkuranga mkoani pwani

Akaniuliza kwa kuwa anajuwa mm naftilia sna mamb ya serekali ndio namm nikaona niwaulize huku

Je Kuna nn mkuranga Hadi wapeleke vijiko jioni kwa lazima
Umeandika utumbo baada kunywa Kili za moto

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu kaniambia jion ya leo vijiko na grader na dozer zipatazo tano vimewasili mkuranga mkoani pwani

Akaniuliza kwa kuwa anajuwa mm naftilia sna mamb ya serekali ndio namm nikaona niwaulize huku

Je Kuna nn mkuranga Hadi wapeleke vijiko jioni kwa lazima
Ukifika Mwanambaya unaingia kulia kisha unaenda mbele hadi shule unafuata barabara ya kulia baada ya mita 800 inapindia kushoto. ambaa nayo hadi kupita bonde utaona shamba lina fensi ya seng'enge kushoto kwako. Naamini hayo magreda yameenda hapo kuweka mazingira sawa...

Umesoma Cuba lakini?
 
Kipindi chote wakikuwepo wapi bila kuchoronga barabara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom