Kuna mtu anaitwa Annania Samwel

Kuna mtu anaitwa Annania Samwel

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Alisoma mbeya secondary school centre,kuna sehemu amekisahau cheti chake ya o-level arusha.

Kama kuna yeyote anayemfahamu mwambie awasiliane kwa namba hizi ili akichukue.

0754 626 166
O762 293426
 
Atakuwa F.

Angepasi ungeshapiga dili.

Pinga mkuu.
 
Alisoma mbeya secondary school centre,kuna sehemu amekisahau cheti chake ya o-level arusha.

Kama kuna yeyote anayemfahamu mwambie awasiliane kwa namba hizi ili akichukue.

0754 626 166
O762 293426

Huu ndo tunaita uungwana!
 
Back
Top Bottom