Kuna mtu aliekulia kijijini ambae hajabaka....

Mie nimebaka sana panzi ingawa nimekulia mjini. Niliwala na kuwala, walitest mhh mhh good.
Na senene pia niliwala.
Ila siku hizi itabidi uniue kwanza kabla ujanilisha panzi au senene. Nawafananisha na mende.
 
Tangu jana naogopa kufungua hii sredi
Naogoa kuona vibinti vilivyokatwa utepe kwa nguvu

Kumbe panzi.....???
How dare you?
 
Mie nilidhani kubaka mwanamke. Kumbe ni kubaka panzi na kumbi kumbi. Mimi nimebaka sana hao enzi zile niko mtoto
 
Back
Top Bottom