Kuna mtandao hapa bongo unao support eSIM?

racka98

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
1,042
Reaction score
1,547
Kama mnavyojua kua kuna baadhi ya simu mpya kuanzia iPhone XS and above, Google Pixels na baadhi ya Samsung kua zinasupport dual SIM lakini moja ni physical sim card na nyingine ni eSIM ambayo carrier wanakuwekea. Je kuna mtandao wowote hapa bongo wana offer eSIM?

Screenshot_20201228-080133.jpg

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Tutafika tu huko usiwe na haraka. Kwa sasa mobile network services providers wa bongo (voda, tigo, airtel, halotel, zantel, etc) hawana ila kuna third parties ambao wanazo japo ni expensive sana kwa uchumi huu wa kati-chini.

Check mobilitypass.com wanatoaga eSIM kwa karibia kila nchi. Unanunua kama bidhaa nyengine vile unavyonunua mtandaoni.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma zinauzwa mtandaoni kati ya dolari 5 hadi 30.
 
Kama mnavyojua kua kuna baadhi ya simu mpya kuanzia iPhone XS and above, Google Pixels na baadhi ya Samsung kua zinasupport dual SIM lakini moja ni physical sim card na nyingine ni eSIM ambayo carrier wanakuwekea. Je kuna mtandao wowote hapa bongo wana offer eSIM?

View attachment 1661088

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
nahis ttcl wanayo mzee jaribu kuwafikiaofisini watakujuza.
 
Kwanza tujuze unachozungumzia kina maana gani Kwa sie tusioenda shule.

Na Je. Wat impact
 
Mbona kampuni zetu zimelala sana vipi hapo kwa wazungu manyangau kenyanzi bado na wao hawana esim?
 
Kwanza tujuze unachozungumzia kina maana gani Kwa sie tusioenda shule.

Na Je. Wat impact
Hata mimi ndio leo nimeliona hili na japo sijaenda shule kama wewe ila nimeelewa hivi....

eSIM ni line ambayo inakuwepo kwa mtoa huduma wewe unapatiwa connection ya hiyo line tuu.... mfano haujawahi kukutana na modem au Simu za promosheni zisizo na line na ukaawa unaweza kuzirecharge na ukatumia japo hizo hazina maana ya hii eSIM..

SINA UHAKIKA NA UELEWA WANGU.
 
Yaani eSIM ni SIM card ambayo ipo ndani ya simu na carrier anaweza kuijaza data za mtandao husika ila iweze kufanya kazi. Fikiria kma sim card isiyotoka ndani ya simu na ni programmable.

Ni kma hizo modem na simu za promotion ulizosema.

Mm nna uhakika carrier wetu wanaweza fanya hyo kitu sababu wanaweza fanya hvo kwenye simu za promotion ni kwamba tu hawajaweka hii huduma public

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Yaani eSIM ni SIM card ambayo ipo ndani ya simu na carrier anaweza kuijaza data za mtandao husika ila iweze kufanya kazi. Fikiria kma sim card isiyotoka ndani ya simu na ni programmable.

Ni kma hizo modem na simu za promotion ulizosema.

Mm nna uhakika carrier wetu wanaweza fanya hyo kitu sababu wanaweza fanya hvo kwenye simu za promotion ni kwamba tu hawajaweka hii huduma public

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Ok sasa nimekupata.... kwa lugha rahisi tuseme simu za sasa zonakuja na line empty ikiwa katika hardware zake hivyo mtoa huduma anaipatia number na setting nyingine... basi kwa hili linawezekana kabisa sijui wanapokwamia.
 
Inawezekana ila hapo pana hatua au ni makubaliano yao na tcra ndio yanaweza fanya kuonekana kama hii kitu ngum kufanyika
 
Jf ni kisima cha maarifa sikujia hii kitu nimejifunza leo, Thanks
 
Back
Top Bottom