Kuna mpasuko mkubwa unakuja chadema

Kuna mpasuko mkubwa unakuja chadema

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,585
Reaction score
11,260
Wakuu umofia kwema??

Kabla jf haijawa bussy naomba niweke kumbukumbu yangu pia kuwa natabiri mpasuko mkubwa CHADEMA.

"Master Keyboard Worries (MKW)" hawajui wampambanie Lissu au ile familia yenye utukufu mwingi.

Je wamiliki wa Sacco's watakuwa tayari utukufu uende kwa mnyaturu?
MKW watakuwa tayari kumuita Lissu msaliti?

Nadhani taratibu tumeanza kujua wahuni wasio na mafunzo ya siraha walitumwa na nani taratibu tutaelewana.
 
Nje na mtu wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara hakina mwingine atakae kishika chama,hao ni wakabila sana kupita kiasi na wabinafsi wakubwa,wamepita sana kwenye sekta nyingi na mitaani kibiashara sasa wanataka nchi waipige vzr na hawawezi kukubali mtu wa nje ya hiyo mikoa kua juu kwenye chama chao hao...MUNGU siyo mzee Jolijo karibu watafuliwa mbali na muumba maana nia zao zinaonekana wanataka nini bila wao kujistukia
 
Back
Top Bottom