Habar zenu hopE mko good,
okay katika chat chat zangu humu c nkakutana na jamaa mmoja tukawa tumeelewana sana
tukachage namba basi daily lazma tuongee yan silali bila kusikia saut yake nae halali bila kunisikia (apo mie nina mchumba wangu) nae ana wake!
Basi tukapanga kuonana ye anakaa mbali kidogo na nilipo mkaka wa watu huyo kajaza mafuta huyoo mguu kwangu
akafika zake hotel akanialika for diner
nikajikwatua mtoto wa kike
Mie hyo hadi nilipoelekezwa kufika kuonana na yule mkaka oooh my God it was suprise sikuamini nilivutiwa sana na muonekano wake na yeye akafurahi sana kuniona .
Tukakaaa story tukapata diner vinywaj fresh
Kwa muda mfupi niliokaa na yule mkaka nulijikuta nimempenda na yeye pia alinambia amenipenda yupo radhi kwa lolote he doesn't care!ananihitaji .
Niliinjoy sana kwa kweli tulivyoagana dah acha tu ilikuwa majonzi sasa nipo njia panda jamaa ananiambia anataka kwenda nyumbani kwetu kwa gharama yoyote .
Nipeni msaada wenu mchumba wangu nampenda na huyu mkaka wa JF nimempenda tena sana.