Kuna mjane kaniganda sio poa

Kuna mjane kaniganda sio poa

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,725
Reaction score
25,518
Habari zenu wakubwa?

Ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua na madeni mengi tu huko bank na alikua anaelekea kufirisika,jamaa akaamua kujiua kwa kunywa sumu,huyu mwanamke ana umri wa miaka 41 na mimi umri wangu ni miaka 36,so tumekutana tu katika harakati za maisha, yeye ana biashara zake ana duka la jumla na pia analima huko sumbawanga kilimo cha kibiashara.

So toka tujuane mimi nilijua ni just one night stand but nashangaa kaniganda hadi naogopa wakuu.

Mimi sio kwamba nampa kitu cha maana hapana labda ni muda wangu tu ninaompa na kumgegeda,sasa kanishangaza eti leo ananiambia badala ya kuendelea kuishi hotelin ananiambia nihamie kwake.

Wakuu niko dilemma na huyu mwanamke,mbona kaniganda hivi?
 
Habari zenu wakubwa?
ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua na madeni mengi tu huko bank na alikua anaelekea kufirisika,jamaa akaamua kujiua kwa kunywa sumu,huyu mwanamke ana umri wa miaka 41 na mimi umri wangu ni miaka 36,so tumekutana tu katika harakati za maisha, yeye ana biashara zake ana duka la jumla na pia analima huko sumbawanga kilimo cha kibiashara.so toka tujuane mimi nilijua ni just one night stand but nashangaa kaniganda hadi naogopa wakuu.mimi sio kwamba nampa kitu cha maana hapana labda ni muda wangu tu ninaompa na kumgegeda,sasa kanishangaza eti leo ananiambia badala ya kuendelea kuishi hotelin ananiambia nihamie kwake.
Wakuu niko dilemma na huyu mwanamke,mbona kaniganda hivi?
Una uhakika kwamba unaishi hotelini?Maana unachouliza ni kama unaishi Mafiati chini ya daraja.
 
Kati ya wewe na yeye Nan ni tajiri
??

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Acha Ujinga una uhakika gani kama siyo yeye alimpa jamaa stress mpaka akajivua ili arithi mali? Au unadhani ni Wanawake wa kimachame tuu wanaua waume zao siku hizi Mwalimu wao kawa mmoja kama aliefundisha matrafiki Nchi nzima
Fanta kazi zako achana na maibilisi ila kama unataka kulelewa then ufe baada ya miaka 4 nenda.
 
Back
Top Bottom