Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Kuna mitihani duniani, lakini huu umezidi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
 
Hapo ndio utajua dini zote wana sali vip? Mpaka kiarabu siku hiyo utaomba
 
Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
Manyaumba, manungayembe na magumegume mliomshinda mtume MNA taabu sana, wacha tu yawakuteni.
 
Binafsi yangu nikiambiwa mgonjwa kalazwa sitolala pale, bora hata tuahirishe mechi
 
Umeona ehhhh.
Lakini unaanzaje dume zima kwenda kulala kwa bibi wa demu wako?
Huogopi hata kuchukuliwa msukule? Vibibi nuksi ati.
Ni shabiki na mpenzi wa Simba ndio mwenye akili za chooni za kulala kwa raha huku akikoroma ukweni.
Madame B, Madame S, miss chagga, Miss Natafuta hebu njooni mnizunguke Leo Shabba Ranks king of dem gals nipo hapa na pesa ya kutosha.
Baada ya bia inawekwa bia a party don't stop till 10.am in da morning.
Weraweraaaaaa tunaramba maye walahi.
 
Nao wanaletaje maiti usiku wa manane?!
Naomba majina ya walio zamu kweny hiyo hospital manesi wachukuliwe hatua kwakuruhusu mait ichukuliwe mda huo
 
Hapo Wewe huna Ujanja zaidi Ya Demu wako Huyo... Kama Ana akili nzuri Atakuokoa Huko Chini
 
sio muda wote watakaa na maiti.. kuna muda itakuwa peke yake... hapo utatoka upige menu halaf urudi uvunguni kulala..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom