figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,099
Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach
Kuna nini au ni baruti?
Kuna nini au ni baruti?
Ile taarifa ya Bi dada si anasema silaha zimewasili!?🤔Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach
Kuna nini au ni baruti?
Ndio upande wa chini.Hata mimi nimesikia ,upande wa chini
Ile habari sio chai kweli maana inatishaAbdul anachezea matoy yake
Tulio nanjilinji ndio Kwanza tuna cheza ngomaMtatujuza. Weekend mapema hivi watu wasijekua wamelewa.
Labda kontena limefunguliwa wanatest kama zinafanya kazi vilivyoKuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach
Kuna nini au ni baruti?