Kuna miji imejengeka aisee....

Kweli asee ghorofa imefanana na makochi ya kike.
 
Mhh kwa kweli mji huu umejengeka vizuri saana tena karibu ya milima ya Uluguru!!
 
Mh huo mbona km Morogoro tu haijafika ht Dodoma
 
Daaaaah mtu mweusi mtamu sana jamani! i mean african race!
 
Nilitizama Movie ya Kihindi DOOM 3 Amir Khan kaigizia Movie hiyo huko... Chicago si Mchezo... City la Nguvu
 
Nasikia haya majengo vifaa vimetka china
 
Nasikia haya majengo vifaa vimetka china
inawezekana kabisa...China wanauza sana marekani na ulaya....hizi feki ni kwetu tu na sababu ni hawa wafanyabiashara wetu
 
Nilitizama Movie ya Kihindi DOOM 3 Amir Khan kaigizia Movie hiyo huko... Chicago si Mchezo... City la Nguvu

Ukimaliza uje unihadithie naona uvivu kutizama....

Nampenda huyo girl katrina kaif....
 
Ukimaliza uje unihadithie naona uvivu kutizama....

Nampenda huyo girl katrina kaif....

Haha me nilishaitizama pale Quality Centre Katrina mtoto mzuri haswa... lakini hajakufikia wewe Farkhina....

Movie imekamilika Comedy Story Action Maandhari mazuri yaliyochezewa Picture... uongo ni kitu cha kawaida kwenye movie za kihindi ambao sometime unajikuta unacheka mwenyewe tu ndani ya theater japo kuna wengine hucheka kwa nguvu....

The Great Indian Circus cha kusikitisha Sterling mapacha wote wanakufa na movie inaisha...

Kaitizame wala hutosikia uvivu am sure utatoka ukitabasamu.... Movie ina subtitle ya english na 1/3 wanaongea English na nyingine ni Hindi...

Kama vipi nistue twende hata sijachoka kuitizama....:wink2:
 

Search youtube players mzuri sana.....wapo kina bipasha basu


Wacha nkuekee...hii nzuri pia

http://m.youtube.com/watch?v=0v4Iy9Vpu2E&desktop_uri=/watch?v=0v4Iy9Vpu2E
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…