Kuna michepuko ni takataka kabisa

Nchi ngumu hii tunahangaika na wahanga wa mafuriko huku nako tena Majay kalianzisha, ngoja inyeshe tuone panapovuja
 
Ukipika vinakuwa kama vya kuchezea watoto kwenye makopo tulikuwa tunapika enzi zetu.

Tunaita madangeπŸ˜‚
hahahahhaa umenikumbusha mbali sana na nimecheka kwa nguvu ofisini, watu wanachukulia maisha rahisi sana

waache utani wao
 
Tafuteni mganga wa Majay sio fake kabisa
Naungana na wewe mkuu, uko sahihi kabsaaa maana sio speed hizi anazompelekesha nazo mkuu mwenzetu

itabidi tumtafute DeepPond tumpe maujanja ya kufanya awe huru hahahaha kama anataka lakini
 
Analijua hilo ndo mana kwake wewe ni bussines partner na sio mwenza,coz anajua huwezi kumuoa..so we mpe tu hela zake,mambo ya mke wako yeye hayamuhusu kabisa,YUKO SAHIHI KABISA.
 
Tulieni na wake zenu ulitaka amuonee huruma mkeo [emoji23]
 
Aiseenishawahi kuwa na mahusiano na michepuko kama hiyo yaani ni balaa kwanza akianza kupiga simu hata hajiongezi kwa nnini haipokelewi yaani atapiga na kupiga... hata kumsalimu unaaogopa lazima upigwe kizinga
 
Yawezekana ni mchepuko wako wa muda mrefu ndo maana ameanza kujipima nguvu na mama mjengo wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…