ZANTAC
Member
- Aug 5, 2017
- 17
- 41
Katika pitapita zangu ktafuta kilichojiri ulimwenguni nimekutana na habari moja toka BBC imenifanya nitafakari sana nyendo zangu:
Simba apatikana akimnyonyesha mwana wa Chui Tanzania :
Mwana wa chui hawezi kubadili madoa doa katika ngozi yake lakini simba huyo hajali hilo.
Daktari Hunter aliyenasa picha hizi na muhifadhi katika mbuga ya Serengeti anasema Nosikitok ( simba anayenyonyesha) ana watoto wachanga walio na umri sawa na mwana huyo wa chui wakiwa na wiki mbili hadi tatu hivi.
Simba huyo alikuwa kilomita moja kutoka kwa nyumba yao ambapo kuna maficho ya watoto wake alipokutana na chuo huyo mdogo. Alimchukua mwana huyo na kumlea kama wake na humlindi dhidi ya shambulio lolote.
Kama mnyama asiye na utashi anajali kiumbe dhaifu ambacho hata sio jamii yake, Mimi binadamu mwenye utashi kamili nanyanyasa na kuwatesa watoto wadogo ambao actually ni jamii yangu mwenyewe lakini tu labda sio wangu wa kumzaa, nikipewa nyani nimlee ntaweza kudumu nae hata kwa masaa kweli?
Mama wa kambo na Baba wa kambo tunaonyanyasa watoto wa jamaa na ndugu zetu tuna cha kujifunza katika hili. Kuna wengine tunafanya unyama kwa watoto zetu wa kuwazaa, kuwatusi, kuwapa vibano vya nguvu.
Unapokwazwa na mtoto sema " He is nothing but a little boy/girl, just a little one. "