moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 1,016
- 1,016
Ulijuaje kma mdada mbona kwenye story sijaona
Utakapokuja kupitishiwa kitu kigumu cheusi kutokea nje ndo utajua nani ni dada kati ya mimi na weweAcha wivu dada
Rudisha acha kuzingua, it’s not your moneyJina limekuja lakike lakn kama ushawah kufanya kazi ya uwakala ndo utanielewa malipo yote ya lipa kwa smu yantumwa kwa namba moja tu na mliki wa hyo namba ni voda
Npo mkoan swez kukaa uko kila baada ya nyumba 3 kuna papai
Laini ya Lipa ya MPESA na AIRTEL inaonesha namba na jina la mtu aliyekulipa.Ww unawivu wa kike hadi sasa hivi ajanitafuta na lain yangu ni ya lipa najuaje namba zake acha umbea
Nafanya biashara na nina lipa namba ya VODA na AIRTEL.Leta ushaid hapa acha maneno maneno
Nina lipa mpesa
Lipa tigopesa
Lipa Airtel money
SijakuelewaSmart mganga tambitambi
Hyo n mipango ya mungu huyo kufa kwan ww ndo mtoa rohoWeka utu kwanza.
Ilikuwa 2014, kuna mtu alikosea muamala kwa M-pesa nikampuuza maana maelezo yake ni kwamba ile hela alikuwa anaituma kwa mgonjwa(45,000), nilimpuuza lkn ukweli nilipokuja kuutambua nilikuwa nimechelewa. Yule mgonjwa alifariki.
Hadi leo huwa najuta kwa nn sikumsikiliza yule mtu...