😄😄😄😄😄Mimi bingwa wa siasa swez shindwa kujieleza kupata maks hata 7 kati ya kumi hata kama najua kzungu kwa 25%
Jamaa ni fwala tu hana uwezo huo. Ni kuhangaika hangaika tu.Huyo hajapata hizo maksi 10, ndo alikua anazipambania ila ninauhakika hawezi zipata
Nimepiga yakiwa combinedRemote sensing na GIS ni masomo wawili tofaut
Acha roho mbaya, pesa sio zako rudishaUshaur mzuri mkuu mungu akubark
Call customer service acha ujinga, you know it’s not your money but you want to keep it, rudisha acha visingizio vya kifala, wizi tabia chafuWw unawivu wa kike hadi sasa hivi ajanitafuta na lain yangu ni ya lipa najuaje namba zake acha umbea
JE, MNANISHAURI VIPI LIWE ZALI LA MTENDE AU UTU NIWEKE MBELE