Kuna mchezo unachezwa Tanesco wa kuyeyusha units ziishe haraka?

Yes n 24 hapo namaanisha umeme wa elf 3 bila makato ya buku jero maan hua kila trh moj nawap kwanza buku jero yao then apo kat nkinunua wa 3k hawakat
Wewe haukatwi Sh.1,500 ya kila mwezi? Sh.3,000 kama wangekuwa hawakati Sh.1,500 ilibidi upate 24 Kwh kwa mtumiaji wa tariff ZERO.

Check tena namba zako kuna kitu hakiko sahihi
 
Back
Top Bottom