mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
leo kuna ndugu yangu katuma elfu 5 akiwa ni wakala wa tigo pesa lakini kwenye salio zimetoka laki nane.simu iliyotumika kutoa fedha ikipigiwa imefungwa na simu hiyo hiyo imetoa fedha sehemu tofauti tofauti.tigo tupeni majibu.kwasababu customer service wanasema hawatambui.je ni kwa nini meseji haijarudi kama kuna makosa.tigo tunaomba mchukulie ishu hii serious na inaonesha kuna watu wamehack system zenu.kwasababu nyinyi ndio mnao control system na response tunaitaka