Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,399
- 20,582
Ngosha ndio mshambaSio rahisi kama unavodhani mkuu au kufikiri kila mtu ni ngosha au mzembe kiiivo

mwenyewe sijaelewaTo be honest nimesoma mara mbili mbili sijaelewa unaibiwaje yaaani kwa mfano, mimi niangalie salio kwenye simu yangu pesa itoke sehemu nyingine, how?
Sijakuelewa, wanatoaje pesa wewe ukiwa mbali ilihali hawajui password yako? Kuna app ya yeye kuaccess p'word yako?⚠️ 🎭`
WIZI MPYA
Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
'IMERUKA'.
Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.
Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.
Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.
Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.
Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).
Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.
Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.
Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.
Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.
Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.
Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.
Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.
KAA MACHO ‼️View attachment 3150393
Kabisa mkuu kwenye miti hamna wajenzi mm mwenyewe nawatamani sanaHawa washamba hawajawahi kujichanganya kwangu, atume basi hiyo laki nimuonyeshe ngoma inavochezwa 😁
STori nzuri⚠️ 🎭`
WIZI MPYA
Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
'IMERUKA'.
Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.
Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.
Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.
Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.
Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).
Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.
Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.
Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.
Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.
Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.
Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.
Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.
KAA MACHO ‼️View attachment 3150393
Utamshangaza ndugu tapeliUsawa huu kizembe hivo eti laki imeingia airudishe na kunipiga juu, thubutuu hatoamini 😁
Weka namba yako ya simu hapa nikuchukule 2000.Hii chai kabisa , Mimi kama mfanyakazi wa mtandao wa simu Fulani hapa nchini , haiwezekani kutoa pesa bila muhusika kupiga menyu ya m pesa, tigo pesa au Airtel money kwenye laini yake husika ya mtandao husika
Mkuu 0629024428 waambie wanitumie apa ninashda na helaYaani watu wanachekesha sana, atume hiyo laki aone matumizi yake
Ndugu tapeli lazima akahadithieUtamshangaza ndugu tapeli
Kuna sms ya mfumo huo inakuja wala msibishe ,Kwa ttcl zinakuja sana kwangu na ninakula sema wanatuma vihela kidogo below10kKwani ikiingia sms ya muamala si unaona Salio kama limeongezeka au!! Kama Salio litaongezeka basi mitandao ya simu itusaidie
⚠️ 🎭`
WIZI MPYA
Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA'.
Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.
Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.
Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.
Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.
Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).
Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.
Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.
Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.
Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.
Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.
Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.
Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.
KAA MACHO!
Ma IT wamehitimu wamejaa mtaani hakuna ajiraMobile banking inaelekea si salama tena