Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,874
- 12,395
Wakijichanganya kwangu ntashukuru maana watakuwa wamenilipia deni la SONGESHA
Mkuu unakuwa hauelewi kitu gani hapo?Atajuaje kwamba saizi ndio naangalia salio???
Vipi likings saiv ila mie nikaangalia salio nusu saa ijayo?
ana hojaMkuu unakuwa hwuelewi kitu
Unaweza kuhamishaNa nikitaka kuihamisha kwenye laini nyingine bila kuangalia salio nini kitatokea?
ni salama ukufata masharti we kwanini kama hufanyi muamala uweke password yako..? na pesa iliyotumwa kimakosa siku zote mhusika anatakiwa awapigie mtandao husika warudishe na sio wewe ulietumiwa!. nafikiri ukifata taratibu zinavyotaka utaepuka kutapeliwa!Mobile banking inaelekea si salama tena
Yaaa ni.kweli,crdb wamemute hudumu hiyo kwa miezi kadhaa kwa sasaMobile banking inaelekea si salama tena
Sio rahisi kama unavodhani mkuu au kufikiri kila mtu ni ngosha au mzembe kiiivoUnarukaje hapo emu sema utawahi kwa wakala kuitoa ukitia pin tu hela imefyekwa malafyale hahaha
Yaani watu wanachekesha sana, atume hiyo laki aone matumizi yakeHao matapeli wanapatikana wapi ili niwapatie namba yangu wanitumie hiyo laki moja 🤣🤣
Mm sijaelewa, na hiyo haiwezekani kwa mfumo wa TanzaniaMkuu unakuwa hauelewi kitu gani hapo?
Huoni mtego tapeli anakuwa kauweka.
Hata uangalie kesho kutwa, kitendo cha kuweka password yako halali, utajikuta salio linahama.
Ndo mtoa mada kakupatia mbinu ya kujilinda kuzuia huo wizi.
Tatizo hapo liko wapi?