Kuna mawaziri watakufa muda wowote

Kufa ghafla?kwani nani anayejua anakufa lini ili?nini tafrisi ya ghafla?kwani kuna m2 tunajua cku yake ya kufa?
 
Pastor wangu kigeugeu,bibi yangu kigeugeu,wanasiasa vigeugeu,hadi watabiri nao vigeugeu! Ni njia tu za kujipatia kipato..coz anajua hao mawaziri wanaamini sana hayo mambo! Yangu macho..
 
Hivi anashindwa kutabiri ya Maendeleo, anatuletea ujinga. Mi nashangaaa hivi utabiri ni vifo tu Na ***** mwingine.
 
Labda Mawaziri Wadokozi wataanza kufariki; Wakiendelea na Udokozi - Ufisadi wao
 
hivi kweli mwingira anamla mkeo,
badala ya kwenda mahakamani
unakwenda kumkodolea mimacho,
hivi wanaume wengine wakoje jamani, lol.
 
nawasali katika jina la bwana wangu yesu kristo,huyu kijana mrithi wa shehe yahya ni agent wa ibilisi shaetani anachokifanya ni kutumia hayo majini yake yakawauwe hao aliowakusudia na pia anatuma majini yake mengine yafuate hao viongozi wa dini wakafanye hayo aliyosema kwamba watajiharibia jina mafano anatuma jini au pepo la umalaya au wizi linakufanya uibe.sasa la kufanya mawaziri na hao viongozi wa dini wamshike sana mungu na kuomba ili kusudi hayo majini ya mtoto wa shehe yahya yasifanye kazi kwao na aaibike na utaniri wake wa kishetani,freemasons kazini maombi ndio silahaa kwa jina la yesu,anayebisha kazi kwakeeee.

Yaani huyu ni sawasawa na yule Nabii wa kike na mchungaji waloangusha wachawi ambao hata mlinzi hakuwaona, ni wazi sasa utapeli umezidi, watu wanafanya mambo kwa kutafuta umaarufu , shame on them ... Mola atuepushe na haya na mengine ....
 
Hivi haiwezekani ikatungwa sheria ya kukataza huu upuuzi? Viongozi wengi Africa wamekuwa wanatumia huu mwanya kuwaandaa watu kisaikologia ili wakimshughulikia mtu basi ionekani ni utabiri unatimia. Nani asiyejua kuwa baba yake huyu kijana alikuwa anatumiwa na wakubwa kutisha watu? Kabla ya uchaguzi mkuu uliopitia alitoa utabiri wa kifo kwa mgombea urais! mambo yakawa kinyume, sasa mtoto wake anataka kugeuza watu mazuzu. Huu ni ujima.

Pili, katika dini ya kiislam, utabiri unaruhusiwa?
 
.
Mtoto wa Shekh yahya ameamua kupiga mluzi ili hao wakuu wa nchi washirikina wajue yupo. Utashuhudia sasa watakavyomiminika kwake sasa kutafuta kinga ya hofu waliyohofishwa.
''waache wafu wawazike wafu wao''
.

Tena wa kwanza kwenda huko atakuwa Shibuda, maana so far ndio alotangaza kugombea urais, kwa hiyo tunasubiri rais mtarajiwa shibuda atie timu yake hapo !
 
Hivi haiwezekani ikatungwa sheria ya kukataza huu upuuzi? Viongozi wengi Africa wamekuwa wanatumia huu mwanya kuwaandaa watu kisaikologia ili wakimshughulikia mtu basi ionekani ni utabiri unatimia. Nani asiyejua kuwa baba yake huyu kijana alikuwa anatumiwa na wakubwa kutisha watu? Kabla ya uchaguzi mkuu uliopitia alitoa utabiri wa kifo kwa mgombea urais! mambo yakawa kinyume, sasa mtoto wake anataka kugeuza watu mazuzu. Huu ni ujima.

Pili, katika dini ya kiislam, utabiri unaruhusiwa?

"Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa" Sura ya TANO (5:90)

Huyo ni Mushrikiin, ambae anamshirikisha Mwenye ez Mungu, hilo halikubaliki katika Uislamu, hivo anakengeuka huyo !
 
  • Thanks
Reactions: FJM
:hatari:Na mimi natabiri kuwa CCM itakufa na urais wa JK!:hatari:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom