OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,103
- 114,708
Nitoeni ushamba wakuu. Maana naona imekuwa too much mpaka kanisani sasa ni mwendo wa vimini
Je kuna sababu zingine kwa kina Dada kuvaa nguo fupi tofauti na kumtamanisha mwanaume?
Je kuna sababu zingine kwa kina Dada kuvaa nguo fupi tofauti na kumtamanisha mwanaume?