Kuna mataifa mengine watu wake wana roho mbaya sipati picha

Kuna mataifa mengine watu wake wana roho mbaya sipati picha

Nilikuwa naitafuta damu hapo ktk picha, siioni!
Mkuu upo makini sana? ukikata miguu minne ya ng'ombe lazima hapo pangechafuka damu.Mbaya zaidi ukiangalia miguu ya nyuma, hakuna dalili kwamba damu ilitoka na kukaushwa...Au ng'ombe alikuwa mgonjwa wa Anemia?
 
Inawezekana aisee!
 
hamna mkuu watakuwa wameikinga kwa ajili ya kutengeneza kisusio
 
Ukuatili wa hivi kwa wanyama upo na hata kwa binadamu lakini usanii uliotumika hapo ni wa kuridhisha baadhi ya watu kuamini ni picha ya kweli
 
Hivi hawa ni watu wa nchi gani,maana nimeshawahi kuona clip ya watu wa hii jamii wakila nyama za watu,Mbwa,Nyoka,wakinywa damu mbichi za Mbwa na leo naona hii picha wakichinja ngo'mbe akiwa hai.
 
Kwa asili binadamu tupo wakatili sana.

Kila siku watu tunakula nyama...iwe za ng'ombe, mbuzi, nguruwe na kadhalika.

Na tunasifia utamu wake. Lakini huwa hatujiulizi hizo nyama zimepatikanaje.

Tunawaua wanyama ili tuwale. Tena tunawaua kikatili mno.

Yule dada wa bilionea wa Arusha alivyochinjwa karibu wote tuliulaani huo ukatili. Ikija kwa wanyama wala hatustuki.

Ushaona Wachaga na ndafu zao? Unakuta mbuzi aliyechunwa anachomwa bila hata kukatwa vipande.

Hata wanyama nao wanapenda kuishi. Ila kwa ukatili wetu huwa tunawakatisha maisha.

Tuko makatili sana sisi.
Sasa tule ninii ,unakumbuka zile kuku zilivyo tamu ![emoji23]
 
Mkavu, let us think this action from a scientific angle: Ukikata miguu yote minne, kuna profuse bleeding ambayo within no time, less than five minutes I can dare say, huyo ngombe angeli collapse due to lack of oxygen! Unasemaje.
Secondly, na hawezi kutulia namna hiyo, it looks to be happy maana hata waliomshika pembe ni kama wamezigusa tu!!
Wamemdunga sindano za ganzi[emoji23] [emoji23]
 
Kwa asili binadamu tupo wakatili sana.

Kila siku watu tunakula nyama...iwe za ng'ombe, mbuzi, nguruwe na kadhalika.

Na tunasifia utamu wake. Lakini huwa hatujiulizi hizo nyama zimepatikanaje.

Tunawaua wanyama ili tuwale. Tena tunawaua kikatili mno.

Yule dada wa bilionea wa Arusha alivyochinjwa karibu wote tuliulaani huo ukatili. Ikija kwa wanyama wala hatustuki.

Ushaona Wachaga na ndafu zao? Unakuta mbuzi aliyechunwa anachomwa bila hata kukatwa vipande.

Hata wanyama nao wanapenda kuishi. Ila kwa ukatili wetu huwa tunawakatisha maisha.

Tuko makatili sana sisi.
Mungu katupa mamlaka ya kutawala kila kiumbe, kuwachinja au kuwaua wanyama wala sio zambi wala ukatili, maana ukiangalia hata kwenye vitabu vya Mungu, mababu zetu walikuwa wanamtolea Mungu dhabihu (sadaka) mnyama wa kuchinjwa, suala linakuja je unamchinjaje au unamuuaje ndo ukatili unaweza kuibuka, kama hao jamaa kwenye picha
 
Uyo kesha kufa mfa ndio maana kichwa kimeshikiliwa kwa picha tu.....uwezi kuondoa miguu na kumchuna ngozi na yeye akatulia tu.
 
Wahindi makatili sana! Huwezi fanya ukatili kama huo kwa mmnyama!

Hawa sidhani kama ni wahindi, ukifuatilia sana hii picha inaonekana imetoka kwenye forum za uturuki.

India ng'ombe anaheshimika sana, anaweza kukaa barabarani na kusababisha foleni na wala watu wasimbugudhi, sehemu nyingi nchini India ni kosa kisheria kuua ng'ombe, hata migahawa yao hakuna menu ya nyama ya ng'ombe.

cows.jpg
 
Back
Top Bottom