Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,107
khaaaa tena roho mbaya kiwango cha lami
khaaaa tena roho mbaya kiwango cha lami
India ng'ombe ni Mungu wanaabuduHawa sidhani kama ni wahindi, ukifuatilia sana hii picha inaonekana imetoka kwenye forum za uturuki.
India ng'ombe anaheshimika sana, anaweza kukaa barabarani na kusababisha foleni na wala watu wasimbugudhi, sehemu nyingi nchini India ni kosa kisheria kuua ng'ombe, hata migahawa yao hakuna menu ya nyama ya ng'ombe.
View attachment 392100
Mhindi ulimtoa wapi(kama wewe ni KE, maana humu lolote linawezekana)India ng'ombe ni Mungu wanaabudu
Niliwah kuwa na boyfriend wa kihindi mpaka nikajikuta nasahau ladha ya nyama ya ngo'mbe kila mkiwa wote ni kuku na samak
hahahaha mbona wapo wengi sana mjin me huyo nilifanya nae kazi ofisi moja yeye alikuwa mhasibu mkuu, MD wa kampuni ni muhindi piaMhindi ulimtoa wapi(kama wewe ni KE, maana humu lolote linawezekana)
Nasema hivyo maana wahindi huwa wana tabia ya kuwatenga wahindi wenzao wanaojihusisha na mapenzi na waafrica , (wazungu wanakubalika) au alikuwa mhindi koko (samahani sina nia ya kumbeza ). Si unajua kule India kuna ubaguzi mkubwa kuna wengine wanaitwa untouchables!hahahaha mbona wapo wengi sana mjin me huyo nilifanya nae kazi ofisi moja yeye alikuwa mhasibu mkuu, MD wa kampuni ni muhindi pia
Yah wanabagua sana usinikumbushe yan tuliachana wakat bado tunapendana maana ilibidi aende kwao kuoa walimtafutia mke huko akarudigi nae TZ but hakuwaga happy ila amezoea now mana ilibidi nijifunze kumpotezeaNasema hivyo maana wahindi huwa wana tabia ya kuwatenga wahindi wenzao wanaojihusisha na mapenzi na waafrica , (wazungu wanakubalika) au alikuwa mhindi koko (samahani sina nia ya kumbeza ). Si unajua kule India kuna ubaguzi mkubwa kuna wengine wanaitwa untouchables!
Ni kwa Wahindu peke yao. Wapo wabudha, waislamu na wakristo pia kule tena wengi tu na [emoji202] wanakandamiza.India ng'ombe ni Mungu wanaabudu
Niliwah kuwa na boyfriend wa kihindi mpaka nikajikuta nasahau ladha ya nyama ya ngo'mbe kila mkiwa wote ni kuku na samak
yah sio woteNi kwa Wahindu peke yao. Wapo wabudha, waislamu na wakristo pia kule tena wengi tu na [emoji202] wanakandamiza.
Sina hakika kama ng'ombe ana mishipa mikubwa ya damu kwenye joint za miguu yake. Vilevile huenda wamefanya kitendo hicho cha kikatili kwa kuzuia bleeding ili wamchune akiwa hai, Ukiniuliza kwa vipi? Mi sijui. Wanasayansi wanaweza kutusaidia. BVM guys are wellcomeMkuu upo makini sana? ukikata miguu minne ya ng'ombe lazima hapo pangechafuka damu.Mbaya zaidi ukiangalia miguu ya nyuma, hakuna dalili kwamba damu ilitoka na kukaushwa...Au ng'ombe alikuwa mgonjwa wa Anemia?