MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,882
- 5,901
mkuu uko vizuri kwenye utulivu hapo pamenipa shaka.Mkavu, let us think this action from a scientific angle: Ukikata miguu yote minne, kuna profuse bleeding ambayo within no time, less than five minutes I can dare say, huyo ngombe angeli collapse due to lack of oxygen! Unasemaje.
Secondly, na hawezi kutulia namna hiyo, it looks to be happy maana hata waliomshika pembe ni kama wamezigusa tu!!
ukiangalia uso wa ng'mbe na shingo kama uhusiano unatia shaka.
Inaonekana kicha halisi kimeshikwa na jamaa mwenye tshirt ya njano na kofia ya kijeshi. pia hakuna hata mtu mmoja katika hao watu ambaye angalau anamuangalia huyo ng'ombe usoni.