LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,415
- 12,142
Tulia tu ndio umeshaingia hilo darasa na uta fuzu tu. Dunia imetufundisha kuwa na mioyo ya chuma hata sisi tulikua kama wewe.Kitu gani unachosahau kwa siku mbili?
Acheni maskhara labda kama nyie wenzetu mna mioyo ya chuma
Ohooo okTulia tu ndio umeshaingia hilo darasa na uta fuzu tu. Dunia imetufundisha kuwa na mioyo ya chuma hata sisi tulikua kama wewe.
Pole sana kiongozi! Ni ngumu sana!Hawa wawili hawawezi ku replacika binti 🥹 nika ma vile hakuna mbadala wa mama, wala wala baba ,wala watoto
Hao wawili wapo kwenye kundi hilo
Hii inavutiaTuishi.... jana na Leo.... hatuijui kesho yetu
Asante kiongozi 🙏Pole sana kiongozi! Ni ngumu sana!
Siyo kirahisi hivyo, yatakuwa hayajakukuta!Maisha lazima yaendelee tu...The dead are gone, only the living matter.
Sahihi ....Hii inavutia
Yamenikuta mengi sana sitaki kusema tu, baadae nikakutana na mzungu mmoja alinipa darasa Sana...sasa I'm free.Siyo kirahisi hivyo, yatakuwa hayajakukuta!
Unaweza ku share pia na sisiYamenikuta mengi sana sitaki kusema tu, baadae nikakutana na mzungu mmoja alinipa darasa Sana...sasa I'm free.
Naunga mkono hoja,Kama wapo chini ya hili jua find a way.. kama hawapo ndio hawawezi replecika.. pole sana.