ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,076
- 40,321
Hawa wawili hawawezi ku replacika binti 🥹 nika ma vile hakuna mbadala wa mama, wala wala baba ,wala watotoYeyote aliye chini ya hii dunia anareplecika vizuri tu, acha kujiendekeza. Find a way 😁
Na mimi nahisi hivyo ni kama jana tuKazi ni nzito kwa walio tangulia mbele ya haki😥 tarehe kama ya leo ametimiza mwezi mmoja tangu aamue zake kulala milele. Najitahidi kupona ila badooo.. kuna muda nafeel kama vimetokea jana tu..
Kweli kabisaUjifunze kukubali na kuenenda na hali ilivyo bila kujiumiza.Ukihesabu hayo mapengo (kama ni mdomo)utajikuta mwisho ni kibogoyo.
Depal heri yao waliolala kuzimu maana mwendo wameumaliza na hawana maumivu tena!Yeyote aliye chini ya hii dunia anareplecika vizuri tu, acha kujiendekeza. Find a way 😁
Kazi ni nzito kwa walio tangulia mbele ya haki😥 tarehe kama ya leo ametimiza mwezi mmoja tangu aamue zake kulala milele. Najitahidi kupona ila badooo.. kuna muda nafeel kama vimetokea jana tu..
Deep down the human heart💖Kuna mapengo hayazibiki… 🥹
Umewahi kukaa mbali na mtu au watu uliowapenda sana? Ilikuchukua muda gani kukubali kwamba wapo mbali, na pengine inaweza kuchukua muda kuwaona tena au hata kutowaona kabisa?
Leo tarehe 2 imetimia miezi 4 bila kuwaona wapendwa wangu wawili. Nawapenda sana wanaishi ndani ya moyo wangu Lakini bado nahisi ni kama jana tu tulikua pamoja.
Kadri siku zinavyoenda, ndio naelewa kwamba kuna baadhi ya mapengo hayazibiki kirahisi
Wewe umewezaje kuendelea na maisha yako bila kuumizwa sana na umbali au utengano kati yako na watu uliowapenda?
Nimeona sehemu nyingi unazochangia mada You are a very seriousconsiderate person, thank you brother🙏🙏Time helps, lakini haifuti kila kitu, kuna vitu una adapt navyo, sio kuvizoea kabisa.
That’s the reality most people don’t say out loud.
Shukrani sana , tuendelee kujifunza na kuwa bora zaidi ya tulivyo.Nimeona sehemu nyingi unazochangia mada You are a very seriousconsiderate person, thank you brother🙏🙏
Huo ndio wakati sahii Zaid wakuwa na Mungu,na kumuomba akukutanishe na marafiki wengine walio wema zaidi,na kuwombea pumziko jema wapendwa wako uko walipo,hakika wapo kwenye ufalme wa bwana,wala usihuzunjke! Kesha ukiwaombea kwa Mungu wa mbinguni!! Amen Amen!Kuna mapengo hayazibiki… 🥹
Umewahi kukaa mbali na mtu au watu uliowapenda sana? Ilikuchukua muda gani kukubali kwamba wapo mbali, na pengine inaweza kuchukua muda kuwaona tena au hata kutowaona kabisa?
Leo tarehe 2 imetimia miezi 4 bila kuwaona wapendwa wangu wawili. Nawapenda sana wanaishi ndani ya moyo wangu Lakini bado nahisi ni kama jana tu tulikua pamoja.
Kadri siku zinavyoenda, ndio naelewa kwamba kuna baadhi ya mapengo hayazibiki kirahisi
Wewe umewezaje kuendelea na maisha yako bila kuumizwa sana na umbali au utengano kati yako na watu uliowapenda?
Kama wapo chini ya hili jua find a way.. kama hawapo ndio hawawezi replecika.. pole sana.Hawa wawili hawawezi ku replacika binti 🥹 nika ma vile hakuna mbadala wa mama, wala wala baba ,wala watoto
Hao wawili wapo kwenye kundi hilo
Na mimi nahisi hivyo ni kama jana tu
Haya mambo yasipokufika utasema watu hawana mioyo migumu, anyway poleni sana mliopitia/mnaopitia nyakati ngumu.
Fanya kama ulipendelewa tu kuwa na hao watu, lakini wote tutafariki.Kuna mapengo hayazibiki… 🥹