MUNGU aliyesema usiue, ndo huyo huyo aliyesema usilale na mwanamke ambaye hujamuoa.
Umefanya uasherati kakuacha, hujamnyooshea kidole kwanini hajakuadhibu.
Mwenzako kaua kaachwa, unamyooshea MUNGU kidole kwanini kamuacha?
You gerrit? ? ?
We kama unaumizwa sana na maovu wanyoshee waovu vidole, BABA yetu muacheni. HAHUSIKI. AMESHAKATAZA.
Our HEAVENLY FATHER is no fool.
Kipindi cha Neema ndo kinaishia hivyo, akija kunyanyuka mtalia na kusaga meno, utafkiri sio nyinyi mliokuwa mnamlalamikia kwanini hafanyi chochote.
Repent and believe the Gospel, the Kingdom of God is about to be settled on earth.