Ukijifungua kwa kisu haina shida ila ukijifungua kawaida kuna mawili uongezewe njia au k itanukeNa akikupa mimba kuna haya mawili,ujifungue kwa kisu ama kwa njia ya kawaida,
K ikitanuka kuna mambo mawil irudi kama zamani au iwe kapu [emoji125] [emoji125]Ukijifungua kwa kisu haina shida ila ukijifungua kawaida kuna mawili uongezewe njia au k itanuke
Ikirudi kama zamani hakuna shida,,K ikitanuka kuna mambo mawil irudi kama zamani au iwe kapu [emoji125] [emoji125]
Ikirudi kama zamani haina shida ila ikiwa kapu kuna mambo haya.... Mawili usifike kileleni au usugulie gunziK ikitanuka kuna mambo mawil irudi kama zamani au iwe kapu [emoji125] [emoji125]
Tukioga kwenye mtera hakuna shida ila tukitumia njia mbadala kuna mambo hay mawilIkirudi kama zamani hakuna shida,,
Ikiwa kapu haya [emoji111]
Eidha tutumie ile njia mbadala au tuendeleee kuoga kwenye bwawa la mteraaaa.
Ukapigwe bomba au uanze kutoa nyaaa ovyoTukioga kwenye mtera hakuna shida ila tukitumia njia mbadala kuna mambo hay mawil
Wasipo kula ban haina shida....huu uzi una mambo haya....mawili
kufungwa au kuendelea ukifungwa hakuna shida usipofungwa kuna mambo haya.....mawili
watu kula ban au kutokula ban wasipokula ban haina shida wakila ban kuna mambo haya....mawili
ukirekebisha tabia haina shida usiporekebisha kuna mambo haya....mawiliWasipo kula ban haina shida....
Ila wakila ban kuna mambo haya....mawili
Ufungue id mpya au usubiri ban iishe
Ukifungua id nyingine haina shida,
Ila ukisubiri ban iishe kuna mambo haya....mawili
Ujirekebishe au utakula ban nyingine
ukiichukia JF kuna mambo haya...mawili; Kuacha kabisa kuperuzi au kuperuzi kama 'guest'. Ukiacha kabisa kuperuzi haina shida, ila ukiperuzi kama guest kuna mambo haya...mawili.....ukirekebisha tabia haina shida usiporekebisha kuna mambo haya....mawili
kuendelea kula ban au kuichukia jf ukiendelea kula ban haina shida ila ukiichukia jf kuna mambo haya...mawili
Ukiperuzi kama guest kuna mambo haya....mawiliukiichukia JF kuna mambo haya...mawili; Kuacha kabisa kuperuzi au kuperuzi kama 'guest'. Ukiacha kabisa kuperuzi haina shida, ila ukiperuzi kama guest kuna mambo haya...mawili.....
Hahahaha.. Nyie mtakuja kunifanya nionekane mwehu ninavyocheka in publicIkirudi kama zamani hakuna shida,,
Ikiwa kapu haya [emoji111]
Eidha tutumie ile njia mbadala au tuendeleee kuoga kwenye bwawa la mteraaaa.