Kuna mamao yanachekesha jamani daaah

Mambo yao waachie wenyewe.
 
Kinachowaponza wanawake ni viburi. Midomo na ulevi. Mimi mwanamke mlevi na mvaa hovyo tena akiwa na wowo nitamtumia tu. Unakuta mwanamke anaongea lisauti la juu km anatangaza mkutano wa kitongoji mbaya zaidi kitandani hakuna kitu. Ukimgusa tu mara nimechoka.mara ngoja kesho au akikubali anaanza kukumbushia mizozo ya siku za nyuma n.k. Nina kila sabab yakukutumia then nikaoe mtoto mwenye mahaba.nidhamu na aibu au staha.
Mashangazi hamtokaa mpungue sababu wanawake kila siku mnaachikà
 
Let em be

Ukitazama historia ya threads zako hapa JF, nigga una shida upstairs kuhusu wanawake, jaribu kupata washauri wa saikolojia

Mkuu ni bahati mbaya hunijui humu mimi nina hulka ya kusema ukweli mchungu na ndo maana hata thread zangu hua zinafutwa. The society has been pilled kushabikia ujinga ikitokea ukawa msema kweli utapigwa vita ila fresh maana nafanya jambo sahihi kusemea jamii inapopotoka.
 
Naomba unambie nini maana ya neno 'goma'??
 

Yes, inawezekana sikujui lakini tambua fikra zako zinaishi katika haya unayoyaandika hapa.

Kuna utofauti mkubwa kati ya kusema ukweli na namna ya kuusema huo ukweli.

Unapousema ukweli kwa namna ya majigambo na ukandamizaji, ile nia nzima iliyojificha katika ukweli inageuka na kuwa kitu fulani kama dharau hivi n.k.

Sasa mada zako zote hapa zipo hivyo, unatamka ukweli katika hali ya masimango pale unapokuwa ukiwakilisha mawazo yako juu ya dada na mama zetu...

Hivyo jaribu kuwakilisha mawazo yako katika namna ambayo hao unaowalenga wavutike kusoma, wajione wakosaji na mwisho wabadilike kufuata njia zao njema...
 
Sad..
Aliji mwambafy juu ya mwamba.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…