Kuna 'makauzu' humu?

Kuwa hivi unajiepusha na mengi mm salamu inatosha tujenge ujirani mwema ingawa watu wanakuona unaringa , dharau , hutaki kujichanganya wanakuteta mno
 
Kuna kipindi wakiona dukani naongea na muuza duka wanauliza kumbe huwaga unacheka , kumbe huwa nimcheshi hivi
 
Kuwa hivi unajiepusha na mengi mm salamu inatosha tujenge ujirani mwema ingawa watu wanakuona unaringa , dharau , hutaki kujichanganya wanakuteta mno
Kukuteta uhakika. Yaani ni lazima na haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…