King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,662
Mkuu King Kong III kwanza una ushahidi wowote kuthibitisha kama hao jamaa kweli wameathirika na HIV?
Kwani UKIMWI ni ugonjwa wa kuambukizana? hakunaga kitu hicho na hiyo HIV aliigunduwa nani vile?, mkuu pamoja na uelewa wetu mdogo kuhusu UKIMWI bado hao jamaa hawawabaki, wanawatongoza na hela wanawapa, waache watumie pesa yao.
Hilo neno ni moja ya kasoro ya sheria za TZ

watu8 hapo hata tukimpa mleta uzi hizo namba za msaada wa kisheria, swali kama hili lazima ataulizwa, hatuwezi kujua pengine kuna mtu ana ugomvi binafsi na hao watu akaamua kuwazushia hiyi skendo. Ushahidi ni muhimu sana katika hili.Hilo neno ni moja ya kasoro ya sheria za TZ
watu8 hapo hata tukimpa mleta uzi hizo namba za msaada wa kisheria, swali kama hili lazima ataulizwa, hatuwezi kujua pengine kuna mtu ana ugomvi binafsi na hao watu akaamua kuwazushia hiyi skendo. Ushahidi ni muhimu sana katika hili.
Mkuu King Kong III kwanza una ushahidi wowote kuthibitisha kama hao jamaa kweli wameathirika na HIV?
Kwani UKIMWI ni ugonjwa wa kuambukizana? hakunaga kitu hicho na hiyo HIV aliigunduwa nani vile?, mkuu pamoja na uelewa wetu mdogo kuhusu UKIMWI bado hao jamaa hawawabaki, wanawatongoza na hela wanawapa, waache watumie pesa yao.
Kama hiyo kitu ni kweli then mtego mzuri hapa ni kuwalengesha kwa under 18 il tuwakamatishe kesi ya kubaka. From there tunawapima HIV na wakiwa + tunakazia kesi zaidi na zaidi.!
jamani ifike mahali tuache hili neno "una ushahidi" ili hali sisi wenyewe wana jamii tuna ndugu zetu, rafiki zetu, jirani zetu na tunafahamu kabisa hali zao na tunajua/tunaona wanaambukiza kwa makusudi nao utaniambia nilete ushahidi???
Hilo neno ni moja ya kasoro ya sheria za TZ
Wapo mji/jiji gani?Good idea yani tukiweza kufanya hivi haya maradhi yatapungua!! Jamaa wanafanya makusudi yani wanalamba watoto wa shule ambao wanajua hawa ni rahisi kusambaza kwa wengine so mtandao unakuwa mkubwa!!!
Tukiacha neno "una ushahidi" basi kila mtu atamshtaki mwenzake pale anapojisikia kufanya hivyo. Kama una ndugu zako unaowafahamu kabisa na unaona wanaambukiza kwa makusudi, huo ndio ushahidi wenyewe.
Unachotakiwa kufanya ni ku-document huo ushahidi na kuupeleka kwenye vyombo husika. Pia uwe tayari kutokea mahakamani kudhibitisha huo ushahidi. Sio kusema kusema tuu unajua, lakini unapoambiwa njoo mbele utupe huo ushahidi unasema.
Heri ungesema ni kasoro ya sheria zote zote duniani. Ushahidi ndiyo mpango mzima wa sheria. Everyone must prove his/her case. Kama ni kesi ya madai, the standard of proof is on the balance of probabilities. Kama ni kesi ya jinai, standard of proof ni beyond reasonable doubt.
Kama unadhani ushahidi ni kasoro ya sheria za Tanzania, basi Mahakama ya Rufaa ikubali maelezo ya walalamikaji dhidi ya ile kesi ya Lema kuwa alirekodiwa kwenye CD akitukana bila kuziona na kuzisikiliza hizo CD?
Wapo mji/jiji gani?