Kuna Majamaa wanaambukiza mabinti HIV makusudi

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,328
67,751
Habari wanasheria,
Kuna jamaa wawili wanangoma nawafahamu ila wanaishi maeneo tofauti,tatizo la hawa jamaa yani wanakula watoto wadogo hovyo hovyo! Kama kuna taasisi yoyote wani PM niwape namba zao wawawekee mtego wa mabinti ili wawatie mikononi kisheria,je kuambukiza wengine makusudi h.I.v sheria zinasemaje?
 
Kwani UKIMWI ni ugonjwa wa kuambukizana? hakunaga kitu hicho na hiyo HIV aliigunduwa nani vile?, mkuu pamoja na uelewa wetu mdogo kuhusu UKIMWI bado hao jamaa hawawabaki, wanawatongoza na hela wanawapa, waache watumie pesa yao.
 
Mkuu King Kong III kwanza una ushahidi wowote kuthibitisha kama hao jamaa kweli wameathirika na HIV?
 
Last edited by a moderator:
jamani ifike mahali tuache hili neno "una ushahidi" ili hali sisi wenyewe wana jamii tuna ndugu zetu, rafiki zetu, jirani zetu na tunafahamu kabisa hali zao na tunajua/tunaona wanaambukiza kwa makusudi nao utaniambia nilete ushahidi???
 
Kwani UKIMWI ni ugonjwa wa kuambukizana? hakunaga kitu hicho na hiyo HIV aliigunduwa nani vile?, mkuu pamoja na uelewa wetu mdogo kuhusu UKIMWI bado hao jamaa hawawabaki, wanawatongoza na hela wanawapa, waache watumie pesa yao.

duniani kuna WATU na VIATU...it's up to JF members to reveal where does this dude belong...
 
Hilo neno ni moja ya kasoro ya sheria za TZ
watu8 hapo hata tukimpa mleta uzi hizo namba za msaada wa kisheria, swali kama hili lazima ataulizwa, hatuwezi kujua pengine kuna mtu ana ugomvi binafsi na hao watu akaamua kuwazushia hiyi skendo. Ushahidi ni muhimu sana katika hili.
 
Last edited by a moderator:
watu8 hapo hata tukimpa mleta uzi hizo namba za msaada wa kisheria, swali kama hili lazima ataulizwa, hatuwezi kujua pengine kuna mtu ana ugomvi binafsi na hao watu akaamua kuwazushia hiyi skendo. Ushahidi ni muhimu sana katika hili.

kumbuka ushahidi huwa unakusanywa pindi mashaka yanapotokea...mamlaka za kufanya hivyo zipo.
ninachofahamu mamlaka husika kama Jeshi la Polisi kitengo cha upelelezi hutegemea sana tetesi "rumors" ili kujenga ushahidi....
 
Nimeshangazwa sana na verified user Fadhili kuuliza maswali aliyouliza!! Ukiwa mjinga ukakaa kimya hakuna mtu atajua ujinga wako lakini ukiongea/ukiandika ndipo watu wanakujua kwamba u mjinga!! HIV and AIDS is real lakini Watz wengine bado hawajalijua hili. Tuwasaidie vipi akina Fadhili?
 
Kwani UKIMWI ni ugonjwa wa kuambukizana? hakunaga kitu hicho na hiyo HIV aliigunduwa nani vile?, mkuu pamoja na uelewa wetu mdogo kuhusu UKIMWI bado hao jamaa hawawabaki, wanawatongoza na hela wanawapa, waache watumie pesa yao.

ndio maana nimeuliza kisheria hili swala la kusambaza virusi kwa makusudi kwa mabinti wa shule lipo vipi?
 
Kama hiyo kitu ni kweli then mtego mzuri hapa ni kuwalengesha kwa under 18 il tuwakamatishe kesi ya kubaka. From there tunawapima HIV na wakiwa + tunakazia kesi zaidi na zaidi.!
 
Good idea yani tukiweza kufanya hivi haya maradhi yatapungua!! Jamaa wanafanya makusudi yani wanalamba watoto wa shule ambao wanajua hawa ni rahisi kusambaza kwa wengine so mtandao unakuwa mkubwa!!!
 
jamani ifike mahali tuache hili neno "una ushahidi" ili hali sisi wenyewe wana jamii tuna ndugu zetu, rafiki zetu, jirani zetu na tunafahamu kabisa hali zao na tunajua/tunaona wanaambukiza kwa makusudi nao utaniambia nilete ushahidi???

Tukiacha neno "una ushahidi" basi kila mtu atamshtaki mwenzake pale anapojisikia kufanya hivyo. Kama una ndugu zako unaowafahamu kabisa na unaona wanaambukiza kwa makusudi, huo ndio ushahidi wenyewe.

Unachotakiwa kufanya ni ku-document huo ushahidi na kuupeleka kwenye vyombo husika. Pia uwe tayari kutokea mahakamani kudhibitisha huo ushahidi. Sio kusema kusema tuu unajua, lakini unapoambiwa njoo mbele utupe huo ushahidi unasema.

Hilo neno ni moja ya kasoro ya sheria za TZ

Heri ungesema ni kasoro ya sheria zote zote duniani. Ushahidi ndiyo mpango mzima wa sheria. Everyone must prove his/her case. Kama ni kesi ya madai, the standard of proof is on the balance of probabilities. Kama ni kesi ya jinai, standard of proof ni beyond reasonable doubt.

Kama unadhani ushahidi ni kasoro ya sheria za Tanzania, basi Mahakama ya Rufaa ikubali maelezo ya walalamikaji dhidi ya ile kesi ya Lema kuwa alirekodiwa kwenye CD akitukana bila kuziona na kuzisikiliza hizo CD?
 
Ni mamlaka ipi huitaji USHAHIDI, Mahakama au Wapelelezi(Polisi)?
Ni mamlaka ipi inahitaji vidhibiti, Mahakama au Wapelelezi(Polisi)?
 
ila so long as they fall to him diplomatically and wameshafika umri wa ki utu uzima kisheria jamaa hana makosa .....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom