Habari members wote,
Naomba kuuliza kama kuna mahusiano ya dhati kizazi hiki. Namaanisha upendo wa kweli kwa pande zote. Mtu yupo tayari kumtetea.
Kumlinda na kusimama nafasi ya mpenzie kwa gharama yeyote. Iwe girlfriend/boyfriend, mchumba au mume/mke? Nimekuwa na mashaka kama yapo ni 1 kwa 100. Hii inasabahishwa na nini?
Naomba tujadili