Kuna mahusiano ya mapenzi without sex?

Karibu sana JF na nakuelewa. Tupo wengi tunasubiria sijui nini filimbi, radi, tsunami yaani sa ingine mpaka hasira. Lakini kwa sababu unampenda ndo maana unasubiria, ndio mapenzi bila ngono yanawezekana hasa kama, mnaishi mbali mbali nikimaanisha shughuli na maisha yenu ya kila siku sio ya kuonana, otherwise nakushauri gonga pembeni wakati unamsubiria kwani si hamjaoana kwa hiyo sio dhambi. After all, atajuaje ? Though no strings should be attached.
Nimesema hivi kwa sababu maisha yanabadilika litakapotokea lolote (God forbid) akiamua kuolewa na mwingine itakusumbua sana.
Kwa sasa, anza taratibu kama mimi, tafuta marafiki wa kike ambao hutakuwa na mahusiano ya ngono nao, kubadilishana mawazo tu with different people tends to help.
 
Theoretically inawezekana lakini ni ngumu in practice. Hivi unaweza ukamtambulisha kwa mkeo au mumeo huyo unayemuita mpenzi wa bila sex? Kama hivi " mume wangu huyu ni mpenzi wangu"
 
Ukishapga cha kwanza hamu yote inaisha, lakn bado unakua unampenda mwenzi wako. Nadhan mapenz bila tendo la ndoa inawezekana kabisa
 
sex ni mazoezi ya mwili kupunguza mawazo, hamu au protein zilizoongezeka mwilini havina uhusiano mkubwa saaana na mapenzi ya kweli na ndo maana kuna watu hutoa huduma hiyo ya sex kwa malipo na wengine hata bure (tembelea club ambiance, jolly club nk)... mapenzi ni kitu asili kinachodumu milele lakini sex ni dk kadhaa tu mshasahau.. nakuacha na swali: " mwanaume mwenzio unaweza kumuita mpenzi wako pasipo kuwa na mabo yanaendana na sex"??
 
Lizzy, nakupigia kwene namba yako ya tritel mbona sikupata, nataka tuendelee na mapenzi yetu ya bila ngono
 
mh hapo iko kazi inamaana marafiki wote wa kike na wakiume mwisho au timilisho ni sex iko kazi tuwe na mipaka na mambo ya urafiki hapa kuna mambo ya kuzungumza si kukimbilia kwa rafiki kuleta mambo ya sex kama shika urafiki kuna mambo kibao na tuwe na mipaka si unakuja kwa ticket ya urafiki then badala ya kushauriana mambo ya maendeleo maboresho mnaleta sex na end inakuwa uwadui urafiki hapo uko wapi jamaniiiii hata hivyo nilikuwa napita
 
Inawezekana...Lakini inategemea sana na feelings zenu ziko vip..sisi ni wanadamu bwana na sio malaika
na ni mara chache sana mtu kukubali kua na mahusiano ya mapenzi bila sex.....labda muwe marafiki tu wa kawaida
 
Mapenzi ni makubaliano ya watu wawili.kama terms zenu ni no ku do ..Automatically
mnapokuwa pamoja mnaongelea maendelea
Siasa za CCM na Chadema ,Maisha kwa ujumla na mengineyo
Mie nadhani inawezekana lakini pale mtakapoamua sasa tunaanza ku do tumeshindwa mapenzi bila kudo mnaangalia si mnakubaliana tu ....

karibu mgeni naona post yako ya kwanza inaanzia mapenzi bila sex..
Kuna mtu kakunyima ?

Ni kweli na ni kipimo cha mtu anaetaka future na wewe. Sex haima maana kuwa ni true love
 
Back
Top Bottom