Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

Kuna mahali nimeharibu vibaya mno :( , sijui nifanyaje?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,762
Reaction score
27,146
  1. Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?

  2. Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?

  3. Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?

Wajuaji msimalize pumzi zenu : HAPANA SIJACHEAT

british-library-KzIGEpHlwgc-unsplash(1).jpg
 
Mood swing zinawatesa sana wanawake mpaka kufikia kwenye matatizo ya afya ya akili ndio maana mimi nimeamua kuwa na mke mmoja na michepuko yangu miwili bado mmoja ifike mitatu niwe na wake wanne kwishaaa.
 
What a life it must be to have a pussy between your legs. Can accomplish anything for no work, never take accountability for not doing that work and still have people begging to take care of you because of your piss flaps.

Insane a woman finds anything to complain about
I’d argue, but you’re already losing to yourself 😎
Acha uendelee kutapa tapa tu na makasiriko yako 😆
 
Wiki imeanza vibaya na inaisha vibaya, nimefanya kitu cha kijinga sababu ya hasira nikamuumiza kipenzi changu. Hebu nipeni busara maana kwa sasa nimeishiwa;

  1. Umeshawahi kufanya kosa na ukajishtukia mwenyewe kwamba hapa ulizingua?

  2. Ulideal vipi na hiyo hisia ya kuwa mkosaji na nafsi kukusuta baada ya kujua umemuumiza mtu unayempenda?

  3. Mwisho kabisa, ulifanya nini mpaka uliyemkosea akakusamehe na akasahau ule ubaya?

Wajuaji msimalize pumzi zenu : HAPANA SIJACHEAT

View attachment 3449951
Kwanza elewa kukosea ni ubinadamu,hakuna binadamu asiyekosea,kwahiyo usipanik kwa kukisea.Hoja ni ni nini unafanya baada ya kukosea? Omba radhi kwa uliyenkosea na jirekebisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom