Kuna madhara yoyote yanayosababishwa na hili??


U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,319
Likes
1,123
Points
280
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,319 1,123 280
Asalaaam aleykum wana Jf wa jukwaa hili lenye msaada mkubwa kwa jamii! Kwa mnaofaham naombeni mnisaidie katika jambo hili... Ki ukweli sijaoa na naamini hakuna madhara zaidi ya yale yakisaikolojia kwa kukaa mda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa! Ila nimekuwa nikisikia na nimeanza kupata wasi wasi kuwa UUME UNAPO SIMAMA MARA KWA MARA then ukapoa wenyewe bila kushiriki tendo,siku zinavyozidi kwenda, UUME HUPOTEZA UWEZO WAKE (yaani Mishipa ya uume hulegea!) Jambo hili limenichanganya kwani kuchakachua naogopa Ukimwi na kuoa bado najipanga! TAFADHARI NAOMBA MAELEZO YA KITAALAM NA SI LONGOLONGO! Thax in advance.
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,388
Likes
7,438
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,388 7,438 280
acha waje wataalam, kwa wanawake hakuna tatizo hata ungekaa miaka kumi, kwenu ndo sijajua bado.
 
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,319
Likes
1,123
Points
280
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,319 1,123 280
acha waje wataalam, kwa wanawake hakuna tatizo hata ungekaa miaka kumi, kwenu ndo sijajua bado.
ndo nawasubiri wataalamu! Karibuni tuelimishane
 
feis buku

feis buku

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Messages
2,370
Likes
8
Points
0
Age
29
feis buku

feis buku

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2011
2,370 8 0
mi ni mtaalamu wa mapishi! acha tuwasubiri wa wataalamu wa afya @unle jei jei
 
SILENT ACtOR

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
629
Likes
65
Points
45
SILENT ACtOR

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
629 65 45
Kusimama/kuchachamaa ndio dalili kwamba uko fiti na muda wowote ukipata gari utaendesha (dalili ya urijali) Au wewe ulitaka ilale kimya mpaka siku utakapoowa?
 
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,254
Likes
800
Points
280
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,254 800 280
we kijana usihangaike ..kwanza hakuna madhara ya kisaikolojia iwapo hutafanya mapenzi....narudika kusema hakuna kabisa

pili juu ya uume kusimama kil wakati nakosa baadhi ya maneno kwa kiswahili lakini naamini hukuogopa umande........soma mwenyewe hapa chini..

Nocturnal penile tumescence (NPT) is the spontaneous occurrence of a penile erection during sleep. All men without physiological erectile dysfunction experience this phenomenon, usually three to five times during the night[1]. It typically happens during REM sleep and it is not uncommon for an erection to be present when a man wakes up - such an erection is colloquially referred to as morning wood in North America, and as morning glory in the United Kingdom (though in some areas of the U.K. the adjective piss-proud is often used instead).

The existence and predictability of nocturnal tumescence is used by sexual health practitioners to ascertain whether a given case of erectile dysfunction (E.D.) is psychological or physiological in origin. A patient presenting with E.D. is fitted with an elastic device to wear around his penis during sleep; the device detects changes in girth and relays the information to a computer for later analysis. If nocturnal tumescence is detected, then the E.D. is presumed to be due to a psychosomatic illness such as sexual anxiety; if not, then it is presumed to be due to a physiological cause.

The cause of NPT is not known with certainty. Bancroft (2005) hypothesizes that the noradrenergic neurons of the locus ceruleus are inhibitory to penile erection, and that the cessation of their discharge that occurs during REM sleep may allow testosterone-related excitatory actions to manifest as NPT.


lakini pia kuna hili kijana wangu

It's actually a reaction to maintain adequate oxygenation, nutrition and removal of wastes from your penis so all the blood vessels dilate at night to perfuse the tissue so that you dont get random erections during the day
 
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,319
Likes
1,123
Points
280
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,319 1,123 280
Nashukuru sana mkuu Edson! Sasa wasi wasi umepungua kwa maelezo yako ya kitaalam kwani kuna wanaosema kwamba inapo simama na kupoa mara kwa mara bila kufanya tendo mwisho wa siku mishipa hulegea! NASHUKURU KWA UFAFANUZI WAKO!
 

Forum statistics

Threads 1,237,603
Members 475,674
Posts 29,294,568