Kuna madhara yoyote kumeza mate ya asubuhi?

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,363
5,108
Naombeni kuuliza wadau tangu niko mdogo nina kawaida kila nikilala usiku au mchana uwa najaa mimate mdomoni ambayo nimekuwa na kawaida ya kuyatema sasa siku hizi nimeanza kuyameza maana yalikuwa yananifanya asubuhi kabla sijatema nisingeweza kuzungumza na yeyote.

Je ayo mate yana madhara yoyote short or long term effects?
 
Ni dawa nzuri tena ukinywa na maji ya moto kabla ujapga mswaki.. maana mdomoni kuna enzymes (pyncreatic amirase) sjui kama nimepatia jina... zinazosaidia kupunguza tatzo la vdonda vya tumbo...
 
Sasa mkuu hayo mate kama yanasababisha chochote kuna mtu angebaki kweli? Usiku wote unayameza.
Zile rangi wanazopaka wadada midomoni zina madhara au hazina madhara zikimezwa. Nauliza tu.
 
Inaongeza nguvu za kiume
Sijawahi kusikia kama mate yana madhara
Denda Lina madhara linatia umaskini linaondoka na fulusi kila linapopigwa
Ni dawa nzuri tena ukinywa na maji ya moto kabla ujapga mswaki.. maana mdomoni kuna enzymes (pyncreatic amirase) sjui kama nimepatia jina... zinazosaidia kupunguza tatzo la vdonda vya tumbo...
Sasa mkuu hayo mate kama yanasababisha chochote kuna mtu angebaki kweli? Usiku wote unayameza.
Zile rangi wanazopaka wadada midomoni zina madhara au hazina madhara zikimezwa. Nauliza tu.
Nashukuruni wadau kwa kunitoa wasiwasi
 
Ni dawa nzuri tena ukinywa na maji ya moto kabla ujapga mswaki.. maana mdomoni kuna enzymes (pyncreatic amirase) sjui kama nimepatia jina... zinazosaidia kupunguza tatzo la vdonda vya tumbo...
Salivary amylase sio iyo ulotaja hapo juu
 
Nilidhani ni mm tu, kumbe tupo wengi ee.

Back
Top Bottom