ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,318
- 50,532
Wataalam WA afya Nauliza Nina kohozi karibu mwaka wa tatu Sasa. Huwa Nina tabia ya kuli push kwenda ndani ni mara chache Sana nitatema labda niwe nje barabarani Ila nikiwa niko ndani nameza tu. Kuna madhara Gani kama nitaendelea kufanya hivyo