Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,123
Habari wajukwaa!!.
Kuna mtoto nataka kumpatia simu ya mawasiliano akiwa na shida awe ananitafuta, lakini kabla ya kumpa nataka kuiondolea simu uwezo wa kutuma sms yaani niitoe kabisa option ya Message.
Najua hiki kinawezekana baada ya kuiroot then naenda option ya kuondoa kabisa message icon/function. Ila nisichofahamu ni kuna madhara gani nitafanyia simu iwapo nitatoa hizi option. Na pia madhara gani simu itapata nikiiondolea Download Manager.
Kwa uelewa wangu iwapo nikiitoa na hii download option basi uhakika wa kuja kuweza kudowload kitu simu itakosa na pia hakataweza kudownload sms app maana dowload manager itakuwa haipo!. Nikishamaliza kutoa hivyo vitu then nikai unroot simu nazani maujanja ya kujua kufanya hivi vitu kwa sasa bado hakajajua!!.
Je nifanye hichi kitu au nini madhara yake nikifanikiwa kuondoa hivyo vitu (in terms of device operation)?.