Kuna madhara kuondoa SMS Option na Download Manager kwenye simu?.

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,323
2,000
Habari wajukwaa!!.
Kuna mtoto nataka kumpatia simu ya mawasiliano akiwa na shida awe ananitafuta, lakini kabla ya kumpa nataka kuiondolea simu uwezo wa kutuma sms yaani niitoe kabisa option ya Message.
Najua hiki kinawezekana baada ya kuiroot then naenda option ya kuondoa kabisa message icon/function. Ila nisichofahamu ni kuna madhara gani nitafanyia simu iwapo nitatoa hizi option. Na pia madhara gani simu itapata nikiiondolea Download Manager.
Kwa uelewa wangu iwapo nikiitoa na hii download option basi uhakika wa kuja kuweza kudowload kitu simu itakosa na pia hakataweza kudownload sms app maana dowload manager itakuwa haipo!. Nikishamaliza kutoa hivyo vitu then nikai unroot simu nazani maujanja ya kujua kufanya hivi vitu kwa sasa bado hakajajua!!.
Je nifanye hichi kitu au nini madhara yake nikifanikiwa kuondoa hivyo vitu (in terms of device operation)?.
 

sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,735
2,000
Haiwezi adhiri ufanisi wa sim, ila kwa ushauri, usiondoe kabisa
 

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,323
2,000
Unampa simu ya kazi gani kama unamuondolea component muhimu?
Hiyo sio component muhimu kwake!..Akiweza piga simu yatosha sana!. cha kuongeza acheze Game na kujipiga Picha lakini SMS isiwezekane!.
 

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,323
2,000
Kama ni mdogo na hutaki aharibikiwe usimpe kabisa. Na simu zinaharibu sana watoto.
Ni kweli na ndio maana nataka kuondoa hiyo feature kwenye simu!. Ni kiasi cha kumzoesha mapema matumizi anavyokuwa aone ni kitu cha kawaida!.
 

tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
941
1,000
Hiyo sio component muhimu kwake!..Akiweza piga simu yatosha sana!. cha kuongeza acheze Game na kujipiga Picha lakini SMS isiwezekane!.
Picha, games na SMS kipi kinamharibu mtoto? Nakushauri usimpe kabisa
 

tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
941
1,000
Device za games zimejaa kibao, hata huna haja ya kuhangaika na simu. Anyway fanya vile unaona inafaa.
IDEA YA PICHA ipo tu haina ubishi
GAMES ni kittu cha kawaida siku hizi
SMS ndio kitu hatari kwa sasa!!!..[/QUOT
 

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,323
2,000
Device za games zimejaa kibao, hata huna haja ya kuhangaika na simu. Anyway fanya vile unaona inafaa.
Idea yangu ni simu mkuu na simu isiwe featured phone iwe smartphone!. Ndio maana nataka kutoa nisivyoona vya muhimu.
 

white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,332
2,000
IDEA YA PICHA ipo tu haina ubishi
GAMES ni kittu cha kawaida siku hizi
SMS ndio kitu hatari kwa sasa!!!..
Vipi kuhusu internet? huko kwenye uchafu wa kila aina au unataka kufuta na browser?
Mimi nakushauri usiondoe hizo app maana unaweza kuua kabisa simu.
Kwahiyo hata sms za mtandao wa simu anaotumia kama voda,tigo n.k asizipate?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom