Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,515
- 766
WanaJF, hofu imetanda katika mtaa wetu kuhusiana na madhara yanayosababishwa na simu, laptop, tv, n.k hasa kwa vijana kwani kumekuwa na wataalamu wanaoelezea madhara hayo kama vile saratani hasa kwa kina mama wanaohifadhi simu vifuani, upunguzaji wa nguvu za kiume, magonjwa ya macho, sikio n.k.
Mbadala wanaoshauri ni kuacha kutumia simu ama kutumia kwa uchache na umakini sana, jambo ambalo sio rahisi kwa wengi hasa wanafunzi ktk ngazi tofaut. Pili kuna ishu ya vyakula hasa tunaoishi zaidi mijini kwani kuanzia matunda, mayai, mboga mboga, mafuta vimejaa kemikal kibao jambo ambalo linaelezwa kuwa na madhara makubwa na kutabiriwa miaka 10 ijayo idad ya watoto wachanga itapungua kwa kias kikubwa.
Ushauri inapowezekana tupunguze utumiaji wa vitu hivyo