Ngoja wajeNinyi wanaume vijana hamjawasoma wanawake. Hii ndo Tabia zao karibu asili mia 95. Jua kuwa mwanamke aliumbwa kwa ubavu 1 wa Adam. Hivyo basi akili zao ni 1/20 ya ya akili ya Wanaume. Mwanamke akiwa ktk "period" akili hubadilika pia akiwa mja mzito pia akili hubadilika. Vumilia tu ndo wako hivyo usipokuwa mvumilivu utaacha kila asubuhi
Kuna girl mmoja nipo naye at least two years, sasa kma wiki
We nawe si utumie kiswahili tu tutaelewa ss hiyo 'at least' unadhani ipo mahala pake au 'almost'?! Mnatuchosha wachangiji bana aahhh!