Kuna mademu wana mapepo vichwani mwao

Kuna mademu wana mapepo vichwani mwao

Tulia na kifaa kipya achana na hiyo 110 itakusumbua akili.
 
Huo wala usimjibu kitu milele wala kupokea simu zake.
 
Mwambie warembo wapo wengi zaidi yako
 
Ninyi wanaume vijana hamjawasoma wanawake. Hii ndo Tabia zao karibu asili mia 95. Jua kuwa mwanamke aliumbwa kwa ubavu 1 wa Adam. Hivyo basi akili zao ni 1/20 ya ya akili ya Wanaume. Mwanamke akiwa ktk "period" akili hubadilika pia akiwa mja mzito pia akili hubadilika. Vumilia tu ndo wako hivyo usipokuwa mvumilivu utaacha kila asubuhi
 
ndi ndi ndi ndi
 
Ukibali kumrudia atakuona lofa na hatashi dwa kukafanyia hayo alokufanyia. Kaa na huyo wa sasa. Mwambie kabisa kwamba una mwingine tayari bila kupepesa mambo.
 
daaah mi ex wote nawapokea kwa mikono miwili, ila tu baada ya muda atajitoa mwenyewee kiroho safi
 
Back
Top Bottom