Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Kuna girl mmoja nipo naye at least two years, sasa kma wiki mbili akanigeukia kabisa kila jambo nikimwambia anasema no, tena akaniambia nitafute mwanamke wa kuoa ila yeye anitaki.
Dah niliumia sana nikajiuliza kwanini ananifanyia hivi, akaniblock kila sehemu mbaya zaidi akanitukana, basi mimi nikawa kma mgonjwa, tukakaa kama wiki mbili kuna msichana mtaani nilikuwa nampenda basi nikamtongoza bila pingamizi mtoto akanielewa sana.
Jana tukawa wote na mchumba mpya tukiwa kwenye mahaba mazito dah ghafla meseji zaidi ya kumi zinaingia kwenye simu, kwa kuwa nipo na mtoto mzuri mpya sikuweza kuzisoma, basi baadaye kuzisoma nakuta yule msichana aliyenigeuka kwa mbwembwe zote ananiomba msamaha na kulia pia akidai kuwa ananipenda sijamjibu chochote till now.
Je, ni jibu gani nimpe?