Nauliza hivi kama serikali ilipiga marufuku Hiace Mjini(Vipanya) kwanini ikaruhusu bajaji??
Nani anajua adha ya bajaji?
Nani anajua adha ya Pikipiki bodaboda haswa??
India mpaka leo wanjutia kwanini waliruhusu usafiri wa abiria hasa bajaji au (RICKSHAW)Kwajinsi zinavyo watesa maana vitu vingine tunaona kama msaada lakini ni mateso hapo baadae.
Nini kifanyike kupunguza hii kero??
Pikipiki ukiondoa mambo ya ajali zinarahisisha sana usafiri broda, hasa kwa miji yenye foleni kama Dar, na maeneo geographically-unreachable kama Kimara&Mbezi!
Lakn pia vipanya vinaboa kwa kukatisha route!