comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,480
- 17,392
- Thread starter
- #41
Sasahivi najitosaMchungaji mgogo anasema msiwaogope, hata wao hutakaka kampani ya kuolewa, wanahitaji kupata bwana
Sasahivi najitosaMchungaji mgogo anasema msiwaogope, hata wao hutakaka kampani ya kuolewa, wanahitaji kupata bwana
NdioMmh hii nayo ni ‘pisi’?!! Kweli uzuri upo machoni mwa mtu
Aruuuu... wewe unaritafuta rupango....!!!!Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana.
View attachment 3667500
Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi, kanafanania na lulu Michael kipindi akiwa kwenye ubora wake, ila kenyewe kamezidi weupe, ilibaki kidogo nimpige mkono niombe namba ila alikua na njemba Moja polisi mwenzake NYEUSI kama mkaa, nikaogopa ataniamshia pira.
Kuna ma afande ni wazuri sana aisee sijui huku upolisini walifuata Nini
Asingeweza kukuletea pira kaka kwani kuna kosa kumtongoza mtu?
Story ikaishaje mkuu!Nuksi inaanza akishakua kwenye hayo mavazi.
Kuna mmoja aliniambia anafanya kazi wizara ya mambo ya ndali ili mazungumzo yaendelee, aljua kabisa nnavyochukia ma askari...
Baadae nikaja kujua anamiliki nyota zake kadhaa na....au basi.
Kuna huyu Afande hapa jirani yangu ni mrembo balaa huyu Mama faya wako hafiki hata robo, ni mke wa mtu, ila sifa yake haogopi mtalimbo, anapenda sana kuukalia.Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana.
View attachment 3667500
Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi, kanafanania na lulu Michael kipindi akiwa kwenye ubora wake, ila kenyewe kamezidi weupe, ilibaki kidogo nimpige mkono niombe namba ila alikua na njemba Moja polisi mwenzake NYEUSI kama mkaa, nikaogopa ataniamshia pira.
Kuna ma afande ni wazuri sana aisee sijui huku upolisini walifuata Nini
Sio kosaAruuuu... wewe unaritafuta rupango....!!!!
Hayo mambo sasa njoo pmKuna huyu Afande hapa jirani yangu ni mrembo balaa huyu Mama faya wako hafiki hata robo, ni mke wa mtu, ila sifa yake haogopi mtalimbo, anapenda sana kuukalia.
Ukiongea naye vizuri anaukalia tu.
NB:Naogopa kuweka picha wala kutaja kituo chake, mnisamehe.
Yupo Bomba vibaya mnoUmebonyeza ngapi ngapi kuona kama huyo afande ni Pisi. Mbona namuona kama dada mkubwa tu
Hata mje 8 kunibishia haisaidiiHata huyu Zoe watamtaka...
Angalia usipewe kesi ya kutongoza kama Mkuu wa Mkoa alivyompa mwanamke 😂Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana.
View attachment 3667500
Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi, kanafanania na lulu Michael kipindi akiwa kwenye ubora wake, ila kenyewe kamezidi weupe, ilibaki kidogo nimpige mkono niombe namba ila alikua na njemba Moja polisi mwenzake NYEUSI kama mkaa, nikaogopa ataniamshia pira.
Kuna ma afande ni wazuri sana aisee sijui huku upolisini walifuata Nini
Pisi ya hivi haiwezi kupata kazi kwa kuruka vichura na mchakamchaka, connection lazima, hapo nimekuelewa.Angalia usipewe kesi ya kutongoza kama Mkuu wa Mkoa alivyompa mwanamke 😂
Mimi nishakuwa naye mmoja wa hivyo, baba yake alikuwa RPC na yeye akaungwa huko.
Maeneo gan?Kuna mwingine kanishobokea leo benki hapa
Ile connection ilikuwa ya RPC mkuu. Kubwa tu.Pisi ya hivi haiwezi kupata kazi kwa kuruka vichura na mchakamchaka, connection lazima, hapo nimekuelewa.
Ubungo TerminalMaeneo gan?