Uliza, Kuna mtu anataka kufungwa kwa kosa hiloAsingeweza kukuletea pira kaka kwani kuna kosa kumtongoza mtu?
Mifumo ipiMjomba huyo afande ni mzuri kama hujajaa kwenye mifumo yake
shauri yako
UongoX wangu
HujaonaHamna kila kitu hapo
Akikukamata huyu ni kuenjoy tuAko ata mim bora kanikamate tu afu tuwe wawili
Hapo hajatabasamu, akitabasamu sasa ndio balaaMkuu huoni hata tabasamu lake kwenye picha ni la kulazimisha tu hapo?...
Tumefanyaje
Hapo alipofika kwa cheo hicho sehemu zake za siri zimeumia sanaKuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana.
View attachment 3667500
Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi, kanafanania na lulu Michael kipindi akiwa kwenye ubora wake, ila kenyewe kamezidi weupe, ilibaki kidogo nimpige mkono niombe namba ila alikua na njemba Moja polisi mwenzake NYEUSI kama mkaa, nikaogopa ataniamshia pira.
Kuna ma afande ni wazuri sana aisee sijui huku upolisini walifuata Nini
Ndo tulivyo wala usishangae
😂😂😂😂😂😂Hapo alipifika sehemu zake za siri zimeumia sana
Kweli itakuwa kakuroga au kakuchanganya Sana haha.Hapo hajatabasamu, akitabasamu sasa ndio balaa
Kwamba sio mzuri huyo?Kweli itakuwa kakuroga au kakuchanganya Sana haha.
Kwa hiyo Wachagga siku hizi ni pisi kali?Kuna huyu hapa, macho mazuri vibaya mno, hakika huyu hata akinikamata nitaenjoy sana.
View attachment 3667500
Kuna mmoja hivi nilimuona maeneo ya sarenda bridge, aisee, kadogodogo kafupi kiasi kana matege hivi, kanafanania na lulu Michael kipindi akiwa kwenye ubora wake, ila kenyewe kamezidi weupe, ilibaki kidogo nimpige mkono niombe namba ila alikua na njemba Moja polisi mwenzake NYEUSI kama mkaa, nikaogopa ataniamshia pira.
Kuna ma afande ni wazuri sana aisee sijui huku upolisini walifuata Nini
Uzuri hauna kabilaKwa hiyo Wachagga siku hizi ni pisi kali?