Kuna maafa makubwa huko Israel!

Jike la kihayudi kutoka madaba linavyolipoti kwa mahaba
 
Tatizo mko too misinformed.
Israel imetumia hadi moles ndani ya Iran kufanya mauaji ya suicide drones na imekua raia 60+ Jana.
Iran imelipua ofisi za kijeshi tena usiku kuamkia leo.
Imelipua na Haifa refinery plant ya mafuta.
Wewe Kaa jitie upofu.
Hilo jike la wayahudi haliwezi kukubali ukweli kwakua ni miongoni mwa mipunga
 
Punga hata uliambie vipi haliwezagi kuelewa, wewe ni miongoni mwa mipunga hivyo hutokuja kuelewa
 
Propaganda kwa account ambayo ni verified?. Ingia X kwenye hio account ujiridhishe kama ni yeye au laa?.
Mkuu mbona unapoteza muda kubishana na punga??? Upinde likishaingia kwenye mfumo huo haliwezi kuelewa, mkuu huoni kina Anko T??
 
Tela Aviv na Haifa wameshushiwa kipondo si cha kawaida

Search and rescue under way as new Iranian rocket barrage hits Israel​


Monday 16 June 2025 03:58, UK


Za kuambiwa changanya na zako, wenyewe wanajifanya hawafi, wakifa ni idadi ndogo!

Several injured in Haifa following Iranian strikes, Israeli media reports

 

At least four sites hit in central Israel: Report​

Fires seen at Haifa power plant after Iranian attack​

Three killed in latest Iranian strike on Israel: Reports​


 
Watu wanaikimbia Tehran kwa maelfu, haikaliki, Israel anajipigia tu.
 
Hii vita Iran kapoteza big times, kashaanza kuomba nchi jirani zisuluhishe mgogoro, Ayatollah hana uhakika na siku inayofuata, wasaidizi wake waandamizi karibia wote wameisha.
 
Maafa yapi hayo yasiyotaja idadi? Mfano, Israel inataja kabisa Majenerali 8 na wanasayansi 6 wa nuke wa Iran wamekufa, halafu idadi ya raia wanaiachia Iran yenyewe itangaze kuwa ni 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…